Afya
MAJALIWA ASEMA KIWANGO CHA KUFUBAZA VVU KIMEENDELEA KUKUA
MWANDISHI WETU, MOROGORO mtwarapressclub@gmail.com Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa, ameeleza kuwa kiwango cha kufubaza VVU kimeendelea kukua na kufikia wastani wa asilimia 78%. Waziri Mkuu amesema hayo Desema 1, 2023 wakati akizindua ripoti ya utafiti wa viashiria vya UKIMWI, ambayo inaonesha maambukizi mapya miongoni mwa…
Read More »MTWARA WAADHIMISHA SIKU YA UKIMWI DUNIANI
BRYSON MSHANA, MTWARA mtwarapressclub@gmail.com Imeelezwa kuwa Watu 2,686 wamegundulika kuwa na maambukizi ya Virusi vya UKIMWI Mkoani Mtwara, katika zoezi la upimaji uliohusisha watu 150,224 lililoanzia mwezi Januari hadi Desemba 2023. Hayo yameelezwa Desemba 01, 2023 mjini Mtwara na Mratibu wa Kudhibiti VVU na UKIMWI Mkoa wa Mtwara Dk. Makarious…
Read More »MAJALIWA AAGIZA MIKOA KUANDAA TAARIFA YA MAADHIMISHO YA SIKU YA UKIMWI DUNIANI
MWANDISHI WETU, MOROGORO mtwarapressclub@gmail.com Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa, meitaka mikoa na wilaya zote nchini itekeleze maelekezo ya kufanya Maadhimisho ya Siku ya UKIMWI Duniani na kutoa huduma stahiki kwa wananchi. Sambamba na hilo Waziri Mkuu ameagiza kila mkoa uandae taarifa ya maadhimisho hayo yaliyofanyika…
Read More »MAJALIWA AZINDUA RIPOTI YA UTAFITI WA VIASHIRIA VYA UKIMWI NCHINI
MWANDISHI WETU, MOROGORO mtwarapressclub@gmail.com Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa, amezindua ripoti ya utafiti wa viashiria vya UKIMWI ambayo inaonesha maambukizi mapya miongoni mwa watu wazima wenye umri zaidi ya miaka 15 yanaendelea kupungua. Waziri Mkuu amezindua ripoti hiyo Desemba mosi, 2023) ikiwa ni sehemu ya…
Read More »BARAZA LA TAIFA LA WATU WANAOISHI NA VIRUSI VYA UKIMWI LATANGAZA UONGOZI MPYA
MWANDISHI WETU, MOROGORO mtwarapressclub@gmail.com Baraza la Taifa la Watu wanaishi na Virusi vya ukimwi (NACOPHA), limetangaza uongozi wake huku Mwenyekiti wake Leticia Kapela akisisitiza juu ya kufanya shughuli za uzalishaji ili kujikwamua kiuchumi. Akizungumza Mjini morogoro Novemba 29, 2023 katika sherehe ya kiapo baada ya kuchaguliwa kushika nafasi hiyo, Mwenyekiti…
Read More »“VIONGOZI WA DINI TUMIENI MAJUKWAA YENU KUWAKINGA VIJANA NA MAAMBUKIZI YA VVU” DKT. YONAZI
MWANDISHI WETU, MOROGORO mtwarapressclub@gmail.com Viongozi wa dini nchini wamehimizwa kuwaelimisha na kuwajenga vijana katika maadili mema, kuwaepusha na maambukizi ya VVU na kudhihirisha jitihada za pamoja kati ya Taasisi za dini na Serikali katika kulinda na kuhamasisha vijana kutambua hali zao za maambukizi ya VVU na kupata elimu ya Afya…
Read More »DKT. YONAZI ARIDHISHWA NA MAANDALIZI KUELEKEA SIKU YA UKIMWI DUNIANI
MWANDISHI WETU, MOROGORO mtwarapressclub@gmail.com Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Dkt. Jim Yonazi ametembelea mabanda mbalimbali na kujionea maandalizi yaliofanywa na wadau mbalimbali kuelekea Kilele cha Maadhimisho ya Siku ya UKIMWI Duniani yatakayofanyika kitaifa1 Disemba, 2023 Mkoani Morogoro. Maadhimisho hayo yenye kauli mbiu isemayo “Jamii Iongoze…
Read More »SERIKALI KUSHIRIKIANA NA WADAU KUBORESHA HUDUMA ZA AFYA NCHINI
OR-TAMISEMI Serikali imesema itaendelea kushirikiana na wadau mbalimbali wa afya ikiwamo sekta binafsi ili kuboresha huduma za afya nchini. Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za (OR-TAMISEMI) anayeshughulikia Afya,Ustawi wa Jamii na Lishe Dkt.Wilson Mahera ameyasema hayo Novemba 23, 2023 alipokuwa akiongoza mkutano wa mwaka…
Read More »DKT.DUGANGE: KITUO CHA AFYA ULEMBWE KIKAMILIKE IFIKAPO DESEMBA 30, 2023
OR-TAMISEMI mtwarapressclub@gmail.com NAIBU Waziri Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Dkt. Festo Dugange amemuagiza Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Wanging’ombe mkoani Njombe kuhakikisha ujenzi wa Kituo cha Afya cha Kata ya Ulembwe unakamilika ifikapo Desemba 30, mwaka huu ili unapoanza mwaka mpya wa 2024 wananchi waanze kupata huduma za afya. Dkt. Dugange…
Read More »MADIWANI, WATENDAJI TOENI ELIMU AFYA YA UZAZI-DC MUNKUNDA
JUMA MOHAMED, MTWARA mtwarapressclub@gmail.com Mkuu wa Wilaya ya Mtwara Mwanahamisi Munkunda amewataka Madiwani na Watendaji wa Sekta ya Afya wa Manispaa ya Mtwara Mikindani, kutoa elimu ya afya ya uzazi ili kupunguza vifo kwa wanawake wajawazito na watoto wachanga. Akizungumza Novemba 6, 2023 katika mkutano wa baraza la Madiwani wa…
Read More »









