Afya
WADAU WATAKIWA KUSHIRIKIANA KUBORESHA AFYA YA MSINGI NCHINI
OR – TAMISEMI mtwarapressclub@gmail.com Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-TAMISEMI Mohamed Mchengerwa amewataka wadau wa afya wanaofanya kazi nchini kuendeleza na kuimarisha ushirikiano na Serikali kupitia Wizara ya Afya na Ofisi ya Rais-TAMISEMI ili kuboresha huduma za afya ya msingi kwa wananchi. Mchengerwa ameyasema hayo Octoba 06, 2023 kupitia hotuba…
Read More »DKT.MAHERA AWATAKA WATALAAMU WA AFYA KUWAJIBIKA KWA JAMII
NTENGHENJWA HOSEA, OR – TAMISEMI mtwarapressclub@gmail.com Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) anayeshughulikia Afya Dkt.Wilson Mahera amewataka watoa huduma za afya nchini kutoa huduma bora za afya,ustawi wa jamii na lishe ili kuendana na uwekezaji mkubwa uliofanywa na serikali. Dkt.Mahera ameyasema hayo…
Read More »MAMA MJAMZITO ANAWEZA KUMKINGA MTOTO KUPATA MAAMBUKIZI YA HOMA YA INI
HADIJA OMARY, LINDI mtwarapressclub@gmail.com Ini ni kiungo muhimu ndani ya mwili wa binadamu, kikiwa na uwezo wa kufanya kazi zaidi ya 500 mwilini, mojawapo ikiwa ni kuchuja na kuondoa sumu kwenye Damu. Ini linaweza kupata shida na kuvimba na kusababisha homa ya Ini (Heptitis) kutokana na sababu mbali mbali ikiwemo…
Read More »KUZINGATIA RATIBA YA CHANJO KWA MTOTO KUNAZUIA MAAMBUKIZI YA SURUA
HADIJA OMARY, LINDI mtwarapressclub@gmail.com Surua ni miongoni mwa magonjwa ya kuambukiza ambayo hushambulia watoto, huku kiwango cha juu cha karibu asilimia 100 cha mashambulizi kikitokea pindi mtu apatapo vimelea vya ugonjwa huu. Ugonjwa huu unaosababishwa na virusi aina ya jamii ya paramyxovirus unaweza kumpata mtu wa rika lolote ila huathiri…
Read More »MATUMIZI YA ARV BADO NI CHANGAMOTO KWA WANAOFANYA BIASHARA YA NGONO
HAIKA KIMARO, MTWARA mtwarapressclub@gmail.com Wakati Taasisi ya Kitaifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMRI) ikitarajia kutoa matokeo ya awamu ya pili ya chanjo ya majaribio ya maambukizi mapya ya virusi vya Ukimwi ifikapo Juni 2024, matumizi ya dawa ya kufubaza virusi Vya Ukimwi (VVU) kwa baadhi ya wanawake wanaofanya…
Read More »MOI YAPOKEA VIFAA TIBA VYA BILIONI 3 TOKA UINGEREZA
Mwandishi Wetu MOI, DAR ES SALAAM mtwarapressclub@gmail.com Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya Dkt. John Jingu ametembelea Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) ambapo kwa niaba ya Waziri wa Wizara hiyo Ummy Mwalimu amepokea msaada wa vifaa tiba vya upasuaji kutoka jumuiya ya St. Roch ya nchini…
Read More »DKT. SAMIA ASHANGAA HALMASHAURI KUSHINDWA KUJENGA JENGO LA X-RAY
BRYSON MSHANA, MTWARA mtwarapressclub@gmail.com Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameonesha kushangazwa na viongozi wa Halmashauri ya Wilaya Masasi Mkoani Mtwara, kwa kushindwa kutumia fedha za mapato ya ndani kujenga jengo kwa ajili ya kuweka mashine ya Miyonzi (X-Ray) katika kituo cha afya kata ya…
Read More »WIZARA YA AFYA YAZINDUA UTAFITI WA KITAIFA WA VIASHIRIA VYA MAGONJWA YASIYOAMBUKIZA (STEPS SURVEY 2023)
Catherine Sungura, Dodoma mtwarapressclub@gmail.com Magonjwa Yasiyoambukiza (NCDs) yanachangia takribani 33% ya vifo vyote nchini huku kwa takwimu za Shirika la Afya duniani (WHO) kwa mwaka 2020 zinaonesha kuwa magonjwa hayo yalichangia zaidi ya vifo milioni 41 sawa na 71% ya vifo vyote Duniani ukilinganisha na vifo milioni 57 kwa mwaka…
Read More »WHO YATOA MILIONI 855 KWA AJILI YA UTAFITI WA VIASHIRIA VYA MAGONJWA YASIYOAMBUKIZA
Catherine Sungura, Dodoma mtwarapressclub@gmail.com Shirika la Afya Duniani (WHO) kuipatia Tanzania fedha Za kitanzania milioni 855 kwa ajili ya kuwezesha kufanya utafiti wa kitaifa wa viashiria vya Magonjwa Yasiyoambukiza (Steps Survey 2023) unaotarajiwa kuanza mapema Agosti, mwaka huu nchi nzima Akiongea Julai 21, 2023 wakati wa uzinduzi huo uliofanywa na…
Read More »WAZIRI UMMY AKEMEA MADAKTARI WANAOTOA FARAGHA ZA WAGONJWA
mtwarapressclub@gmail.com Waziri wa Afya Ummy Mwalimu amemuelekeza Mganga Mkuu wa Serikali Prof. Tumaini Nagu kushughulikia maadili ya kitabibu kwa madaktari wanaokiuka taratibu za kitabibu na kutoa taarifa za faragha za wagonjwa hadharani. Waziri Ummy ametoa maelekezo hayo kufuatia taarifa iliyotolewa na Mganga Mfawidhi Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Sokoine Lindi,…
Read More »









