Afya
ALIYEJIKATA UUME ASEMA NI MAELEKEZO KUTOKA JUU
HADIJA OMARY, LINDI mtwarapreeclub@gmail.com Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Lindi, Sokoine, Dkt. Alexander Makalla, amesema kijana Simon Manyoli, aliyejikata Uume amehojiwa hospitalini hapo na kudai kuwa alifanya kitendo hicho kutekeleza maelekezo aliyopewa kutoka ‘juu’. Amezungumza hayo Julai 12, 2023 alipokua akihojiwa na Wanahabari juu ya maendeleo…
Read More »MADAKTARI BINGWA KUTOKA UJERUMANI KUWASILI TANGA JULAI 13, 2023
OSCAR ASSENGA,TANGA mtwarapressclub@gmail.com MADAKTARI Bingwa kutoka Nchini Ujerumani wanatarajiwa kuwasili Mkoani Tanga kesho Julai 13 ambao wanakuja kwa ajili ya kutoa huduma za Kibingwa katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Tanga –Bombo. Akizungumza na waandishi wa habari Mkoani Tanga Julai 12, 2023,Mratibu wa Kambi ya Upasuaji wa Kurekebisha Maumbile…
Read More »WAZIRI MKUU AMTAKA DMO MTWARA ASIMAMIE UJENZI KITUO CHA AFYA MKUNWA
BRYSON MSHANA, MTWARA mtwarapressclub@gmail.com WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amemtaka Mganga Mkuu wa Wilaya ya Mtwara, Dkt. Matayo Malaika ahakikishe anasimamia ujenzi wa kituo cha afya Mkunwa ili kikamilike ifikapo Oktoba, 2023. Ametoa agizo hilo jana (Jumamosi, Julai 8, 2023) wakati akizungumza na wananchi wa kata ya Mkunwa mara baada ya…
Read More »WIZARA YA AFYA YAIKABIDHI ZIMAMOTO MAGARI YA UOKOAJI YENYE THAMANI YA BILIONI 1.6
Catherine Sungura,Dar es salaam mtwarapressclub@gmail.com Waziri wa Afya Ummy Mwalimu Julai 8, 2023 amemkabidhi Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Inj. Hamad Masauni Magari matatu ya uokoaji yenye zana za kisasa yenye thamani ya shilingi Bilioni 1.6 kwa ajili ya jeshi la Zimamoto na Uokoaji kwenye hafla fupi…
Read More »JAMII YATAKIWA KUACHA DHANA POTOFU JUU YA MASUALA YA HEDHI
WAF – DODOMA mtwarapressclub@gmail.com Wito umetolewa kwa jamii kuwa na uelewa kuwa hedhi sio balaa, ugonjwa wala sio laana bali ni mabadiliko ya hali ya kawaida yanayomtokea mwanamke au msichana mara baada ya kubalehe kama ishara kwenye mfumo wa maumbile yake ya uzazi. Wito huo umetolewa mei 26,2023 na…
Read More »WAANDISHI WA HABARI WAONGOZA ZOEZI LA KUCHANGIA DAMU MTWARA
MUSA MTEPA, MTWARA mtwarapressclub@gmail.com Chama cha Waandishi wa Habari Mkoa wa Mtwara kimeendesha zoezi la uchangiaji wa damu lililojumuisha wadau mbalimbali wa Habari kutoka ndani na nje ya Mtwara, ikiwa ni sehemu ya Maadhimisho ya miaka 30 ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani yaliyofanyika kimkoa Mei 6,2023. Zoezi hilo lililofanyika…
Read More »UZINDUZI WA WIKI YA CHANJO KITAIFA KUFANYIKA MKOANI MANYARA
CATHERINE SUNGURA, DODOMA mtwqarapressclub@gmail.com Wizara ya Afya inaendelea kuikinga jamii ya Watanzania dhidi ya magonjwa yanayozuilika kwa Chanjo ambayo ni Kifua kikuu, Donda Koo, Kifaduro, Polio, Surua, Rubella, Pepo punda, Homa ya ini, Homa ya uti wa mgongo, Kichomi, Kuhara na Saratani ya shingo ya kizazi. Hayo yameelezwa na Mganga…
Read More »MAAMBUKIZI YA VVU NCHINI YAPUNGUA KWA ASILIMIA 88
MWANDISHI WETU, DODOMA mtwarapressclub@gmail.com Imeelezwa kuwa, Tanzania imepunguza maambukizi ya UKIMWI kwa asilimia themanini na nane (88%) kutokana na vifo vitokanavyo na UKIMWI kupungua kwa asilimia hamsini (50%) kutoka vifo 64,000 mwaka 2010 hadi 32,000 mwaka 2020. Hayo yamelezwa Aprili 14, 2023 Jijini Dodoma wakati wa mawasilisho yaliyohusu tathmini ya…
Read More »WATOTO WENYE MATATIZO YA MACHO WAWAHISHWE HOSPITALI MAPEMA
Catherine Sungura-Mbarali mtwarapressclub@gmail.com Wazazi wametakiwa kuwapeleka watoto wenye matatizo ya mtoto wa jicho wanayozaliwa nayo au yaliyotokana na majeraha ili kupata matibabu sahihi na kumuwezesha ubongo kukua vizuri na kuona vizuri. Rai hiyo imetolewa Aprili 13, 2023 na Daktari Bingwa wa Macho kutoka Hospitali ya Rufaa ya Kanda Mbeya (MZRH)…
Read More »MRADI WA AFYA YA MACHO WATOA MATUMAINI KWA MAMILIONI YA WATU NCHINI
BRYSON MSHANA, MOROGORO mtwarapressclub@gmail.com Mradi wa afya ya macho katika mikoa ya Morogoro na Singida umeonyesha kuwa kuna uwezekano wa kuepuka upofu unao zuilika nchini Tanzania. Mnamo 2022, ilikadiriwa kuwa watu milioni 8.2 nchini walipoteza uoni na bila juhudi za makusudi, idadi hii inaweza kuongezeka (ripoti ya IAPB, 2020). Boresha…
Read More »









