Afya
WAZIRI MKUU AZINDUA JENGO LA DHARURA HOSPITALI YA WILAYA YA RUANGWA
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikata utepe kuzindua jengo la dharura kwenye hospitali ya wilaya ya Ruangwa, Machi 31, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akipata maelezo kutoka kwa Afisa Muuguzi Shifra Buroko kuhusu mashine ya usaidizi ya kupumulia baada ya kuzindua Jengo la Wagonjwa wa Dharura la…
Read More »TUNZENI VIFAA VYA AFYA – DKT. MAHERA
ASILA TWAHA, NANYUMU mtwarapressclub@gmail.com Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa anayeshughulikia Afya Dkt. Charles Mahera amewataka watendaji wote katika Sekretarieti za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa kutunza vifaa vya afya vilivyonunuliwa na Serikali ili viweze kudumu na kuweza kutoa huduma kwa…
Read More »MACHI 24, SIKU YA KIFUA KIKUU DUNIANI, MTWARA YAZIDISHA JITIHADA ZA KUWATAMBUA WAGONJWA WA TB
BRYSON MSHANA, MTWARA mtwarapressclub@gmail.com Machi 24 ya kila mwaka, Dunia inaadhimisha siku ya Kifua Kikuu ambayo mwaka huu kitaifa yanafanyika Wilayani Bariadi mkoa wa Simiyu na kuhudhuriwa na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa, yakiongozwa na kauli mbiu isemayo “Okoa maisha wekeza katika kutokomeza kifua kikuu nchini”…
Read More »WAZIRI WA AFYA AFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA MAREKANI
WAF-DODOMA mtwarapressclub@gmail.com Waziri wa Afya Ummy Mwalimu Machi 23, 2023 amekutana na Balozi wa Marekani nchini Tanzania Dkt. Michael Battle kwenye ofisi za Wizara jijini Dodoma. Katika mazungumzo yao Waziri Ummy amemwambia Balozi huyo kwamba Serikali ya Tanzania inawashukuru Marekani kwa kuendelea kushirikiana hususani kwenye maboresho katika sekta ya…
Read More »SERIKALI KUSHIRIKIANA NA WADAU KUDHIBITI UGONJWA WA KIFUA KIKUU (TB)
WAF – DODOMA www.mtwarapressblog.co.tz Serikali imedhamiria kuendelea kushirikiana na wadau katika sekta zote ili kudhibiti na kuutokomeza ugonjwa wa Kifua Kikuu (TB) ifikapo mwaka 2030. Hayo yamesemwa Machi 21, 2023 na Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Dkt. Jim Yonazi kwenye kikao na Makatibu Wakuu wa…
Read More »RAIS SAMIA APONGEZWA KWA KUWEZESHA WATU WENYE ULEMAVU
BRYSON MSHANA, TANGA www.mtwarapressblog.co.tz Kamati ya kudumu ya Bunge, Ustawi na Maendeleo ya Jamii imempongeza Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuwawezesha watu wenye ulemavu kwa kuwapatia ujuzi utakaowasaidia kujikwamua kiuchumi. Mwenyekiti wa kamati hiyo Fatuma Toufiq ameyasema hayo Machi 15, mwaka huu wakati kamati ilipotembelea Chuo cha Ufundi…
Read More »ELIMU CHANJO YA SURUA YAWAFIKIA WATU 267, 261 MPIMBWE.
ELIMU YA AFYA KWA UMMA, KATAVI www.mtwarapressblog.co.tz Katika utekelezaji wa agizo la Waziri wa Afya Mhe.Ummy Mwalimu la kuhakikisha kuanzisha kampeni ya Hamasa na Elimu kwa jamii umuhimu wa chanjo ya Surua, jumla ya watu 267, 261 wamefikiwa na elimu hiyo Halmashauri ya Mpimbwe mkoani Katavi kwa njia ya magari…
Read More »MACHI 09 NI SIKU YA FIGO DUNIANI.
BRYSON MSHANA, MTWARA www.mtwarapressblog.co.tz Siku ya Figo Duniani ni hafla ya kila mwaka ya kimataifa, inayoadhimishwa tarehe 9 Machi kila mwaka, ambayo inalenga na kulenga kuongeza uelewa juu ya umuhimu wa afya ya figo na kupunguza kiwango cha maambukizi duniani. Siku hii ilianza kuadhimishwa rasmi mwaka 2006 katika nchi 66…
Read More »MKOA WA RUVUMA ULIVYODHAMIRIA KUPUNGUZA UDUMAVU
ALBANO MIDELO, RUVUMA www.mtwarapressblog.co.tz KATIBU Tawala Mkoa wa Ruvuma Ndugu Stephen Ndaki ameongoza kikao cha Kamati ya Lishe Mkoa ambacho kimelenga kupokea majukumu na viashiria vya kupima utendaji kazi wa Kamati ili kupunguza udumavu na utapiamlo. kikao hicho kilichofanyika kwenye ukumbi wa Mipango Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma…
Read More »ITILIMA YAPONGEZWA USIMAMIZI MZURI WA MIRADI YA AFYA
OR TAMISEMI, SIMIYU Naibu Waziri Ofisi ya Rais – TAMISEMI, Dkt. Festo J. Dugange(Mb) ameridhishwa na usimamizi wa fedha za ujenzi miundombinu ya Hospitali ya wilaya Itilima na Kituo cha Afya Mwanhunda katika halmashauri ya wilaya Itilima mkoani Simiyu. Ameeleza hayo Januari 17, 2023 wakati wa ziara yake mkoa Simiyu…
Read More »









