Misitu, Uhifadhi na Utalii
SIMBA MZEE KIVUTIO CHA WATALII AUWAWA NA WENZAKE HIFADHI YA SERENGETI
https://youtu.be/B3fhXzTxzBs MWANDISHI WETU www.mtwarapressblog.co.tz Simba maarufu Kaskazini mwa Tanzania aliyeishi katika Hifadhi ya Serengeti, ‘Bob Junior’ ameuawa baada ya kushambuliwa na kundi la Simba watatu waliokuwa na lengo la muda mrefu la kuuangusha utawala wake, Mamlaka za hifadhi nchini humo zimethibitisha kifo hicho kilichotokea Jumamosi iliyopita. Simba hao watatu waliowahi…
Read More »MCHENGERWA AZINDUA BOTI YA KISASA YA UTALII
MWANDISHI WETU, KILWA www.mtwarapressblog.co.tz Serikali imewataka wananchi kutumia boti ya kisasa ya Utalii ili kukuza utalii wa ndani. Kauli hiyo ameitoa Waziri wa Maliasili na Utalii Mohamed Mchengerwa akiwa Kilwa Masoko kwenye hafla ya uzinduzi wa boti maalum ya Utalii ijulikanayo kama TAWA SEA CRUISER inayomilikiwa na Mamlaka ya…
Read More »MCHENGERWA ATAKA MAELEKEZO YA CHONGOLO YATEKELEZWE
MWANDISHI WETU, KILWA www.mtwarapressblog.co.tz Waziri wa Maliasili na Utalii, Mohamed Mchengerwa ameelekeza watendaji wa wizara yake kwenda kumaliza migogoro yote baina ya Hifadhi na wananchi kote nchini ikiwa ni pamoja na maelekezo yote aliyoyatoa Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi mkoani Manyara hivi karibuni. Mchengerwa ametoa maelekezo haya Machi 14,…
Read More »ASKARI WA WANYAMAPORI WAJENGEWA UWEZO KUZUIA UJANGILI
Mwanasheria kutoka ofisi ya Mkurugenzi wa Mashitaka mkoa Manyara Brandina Msawa akitoa mafunzo kwa askari wa wanyamapori Askari Wanyamapori wa Burunge WMA, Askari wa taasisi ya Chemchem na kutoka halmashauri ya Babati wakiwa mafunzoni MWANDISHI WETU, BABATI www.mtwarapressblog.co.tz Askari wa wanyamapori katika eneo la Jumuiya ya hifadhi ya Wanyapori ya …
Read More »MATAMASHA YATUMIKE KUKEMEA VITENDO VINAVYOKIUKA MILA NA DESTURI
www.mtwarapressblog.co.tz MWENYEKITI wa Bodi ya Wakurugenzi wa Makumbusho ya Taifa Tanzani Dkt. Oswald Masebo ameshauri matamasha ya kumbukizi yatumike kukemea vitendo viovu vinavyokwenda kinyume na mila na desturi ya mtanzania. Dkt.Masebo ametoa ushauri huo kwenye kongamano la kumbukizi ya mashujaa wa vita ya Majimaji lililofanyika hivi karibuni kwenye ukumbi wa…
Read More »WAZIRI MCHENGERWA AFUNGUA KITUO CHA KISASA CHA HABARI SERENGETI.
MWANDISHI WETU, SERENGETI www.mtwarapressblog.co.tz Waziri wa Maliasili na Utalii, Mohamed Mchengerwa amefungua Kituo cha Habari cha kisasa chenye hadhi ya kimataifa kitakachotumika kutangaza vivutio mbalimbali vya utalii vilivyopo kwenye mbuga na hifadhi zote nchini. Akifungua kituo hicho leo Machi 10, 2023 kilichojengwa katikati ya Mbuga ya Serengeti kwa ufadhili wa…
Read More »KICHWA CHA SHUJAA SONGEA KUREJESHWA NCHINI.
ALBANO MIDELO, RUVUMA www.mtwarapressblog.co.tz Mgeni rasmi kwenye kilele cha tamasha la kumbukizi la mashujaa wa vita ya majimaji Naibu Waiziri wa Maliasili na utalii mheshimiwa Mary Masanja akiwaongoza wananchi wa Manispaa ya Songea kwenye maadhimisho hayo ambayo yamefanyika kwenye viwanja vya makumbusho ya Taifa ya Majimaji mjini Songea. Naibu Waziri…
Read More »NYUMBA YA NYERERE NA SAMORA KIVUTIO ENEO LA KIHISTORIA MASONYA TUNDURU
BRYSON MSHANA, RUVUMA www.mtwarapressblog.co.tz ENEO la Masonya lililopo katika Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma lina utajiri wa utalii wa malikale na utambulisho wa Taifa kimataifa. Eneo hilo lenye ukubwa wa ekari 100 lina vivutio adimu vya utalii wa malikale ikiwemo nyumba yenye namba A 10 ambayo walikuwa wanafikia…
Read More »POPO WA NIGERIA KIVUTIO KINGINE MAKUMBUSHO YA MAJIMAJI
BRYSON MSHANA, RUVUMA www.mtwarapressblog.co.tz Makumbusho ya Taifa ya Majimaji ni eneo ambalo limehifadhiwa vizuri na serikali ili kuwawezesha watu kujifunza kumbukumbu nyingi ambazo ni kivutio adimu cha utalii wa kishujaa na kiutamaduni. Watu mbalimbali kutoka mkoa wa Ruvuma, ndani na nje ya nchi wanatembelea eneo hili maarufu katika historia ya…
Read More »PENTIOLE; NDEGE ALIYEHAMIA TOKA MADAGASKA KIVUTIO HIFADHI YA MWAMBESI TUNDURU
BRYSON MSHANA, RUVUMA MSITU wa Hifadhi wa Taifa wa mazingira asilia Mwambesi uliopo wilayani Tunduru mkoani Ruvuma ulianzishwa mwaka 1956 na ulipandishwa hadhi kuwa msitu wa Taifa katika kipindi cha mwaka 2017/2018. Meneja wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) wilayani Tunduru Denis Mwangama anasema msitu huo umepandishwa hadhi ili kuongeza…
Read More »







