Misitu, Uhifadhi na Utalii
HISTORIA YA MJI WA SONGEA ULIOANZISHWA MWAKA 1897
ALBANO MIDELO, RUVUMA www.mtwarapressblog.co.tz MJI wa Songea uliopo katika Mkoa wa Ruvuma ni miongoni mwa maeneo machache hapa nchini ambayo yana hazina kubwa ya utajiri wa kihistoria na kishujaa, ukiwa na majengo ya kumbukumbu za kihistoria mbalimbali yakiwemo makanisa yenye miaka zaidi ya 100. Mashujaa kutoka katika Mji wa Songea…
Read More »MAKUMBUSHO YA TAIFA YA MAJIMAJI KUKUZA UTALII WA KIUTAMADUNI
ALBANO MIDELO, RUVUMA www.mtwarapressblog.co.tz Utalii wa kiutamaduni hapa nchini bado haujapewa kipaumbele ukilinganisha na nchi nyingine kama Afrika ya kusini ambayo utalii huo umepiga hatua kubwa. Mkoa wa Ruvuma una utajiri mkubwa wa utalii wa utamaduni ukilinganisha utalii wa ikolojia,miongoni mwa vivutio vya utalii wa utamaduni ni Makumbusho ya Taifa…
Read More »

