Michezo na Burudani
FAINALI UMISSETA 2023 SOKA WAVULANA NI MBEYA & MWANZA
BRYSON MSHANA, TABORA mtwarapressclub@gmail.com Mabingwa watetezi wa soka Wavulana Mkoa wa Mbeya, wameingia nusu fainali baada ya kuifunga Dodoma katika Mashindano ya Umoja wa Michezo ya Shule za Sekondari Tanzania (UMISSETA 2023) yanayofanyika Mkoani Mtwara. Mbeya wameifunga Dodoma Magoli 2-1 katika mchezo uliokuwa na upinzani mkali uliopigwa Tarehe 23 Juni…
Read More »TABORA, DODOMA ZATINGA FAINALI SOKA WASICHANA UMISSETA 2023
BRYSON MSHANA, TABORA mtwarapressclub@gmail.com Mikoa ya Tabora na Dodoma, imefanikiwa kuingia fainali ya mpira wa miguu wasichana katika Mashindano ya Umoja wa Michezo ya Shule za Sekondari Tanzania (UMISSETA 2023). Michezo ya Nusu fainali imechezwa Leo Tarehe 23 Juni 2023, ikizikutanisha Manyara na wenyeji Tabora ikimalizika kwa wenyeji Tabora kusonga…
Read More »TANGA, MORO MABINGWA GOALBALL UMISSETA 2023
BRYSON MSHANA, TABORA mtwarapressclub@gmail.com Mikoa ya Tanga na Morogoro imeibuka mabingwa wa mchezo wa Goal Ball wasichana na wavulana, ambao ni maalum kwa watu wenye uono hafifu ukiwa ni moja ya michezo iliyojumuishwa kwenye Mashindano ya Umoja wa Michezo ya Shule za Sekondari Tanzania (UMISSETA 2023) Mkoani Tabora. Katika michezo…
Read More »NI ARUSHA VS KILIMANJARO NA DAR VS MWANZA FAINALI KIKAPU
BRYSON MSHANA, TABORA mtwarapressclub@gmail.com Timu za Kikapu Wasichana kutoka Mkoa wa Arusha, na Dar es salaam Wavulana zimeingia hatua ya fainali katika Mashindano ya Umoja wa Michezo ya Shule za Sekondari Tanzania (UMISSETA 2023) Mkoani Tabora. Katika michezo ya nusu fainali iyochezwa Asubuhi ya Tarehe 22 Juni 2023 kwenye viwanja…
Read More »ARUSHA,DODOMA ZATINGA FAINALI SOKA WASICHANA UMISSETA 2023
BRYSON MSHANA, TABORA mtwarapressclub@gmail.com Timu za Soka Wasichana kutoka Mikoa ya Dodoma, Manyara, Mbeya na Tabora zimeingia nusu fainali katika Mashindano ya Umoja wa Michezo ya Shule za Sekondari Tanzania (UMISSETA 2023) Mkoani Tabora. Michezo ya Robo Fainali imepigwa Tarehe 22 Juni 2023 kwenye viwanja A na Uwanja Mpya shule…
Read More »RIADHA YAFIKIA TAMATI UMISSETA 2023 TABORA
BRYSON MSHANA, TABORA mtwarapressclub@gmail.com Michezo ya riadha imehitimishwa leo Tarehe 20 Juni 2023, katika Mashindano ya Umoja wa Michezo ya Shule za Sekondari Tanzania (UMISSETA 2023) Mkoani Tabora. Fainali ya mwisho ya riadha UMISSETA 2023 imefanyika kwenye viwanja vya shule ya Sekondanri Wavulana Tabora, ikihusisha Mita 200, 400, 800 na…
Read More »MPIRA WA MEZA UMISSETA 2023
BRYSON MSHANA, TABORA mtwarapressclub@gmail.com Mpira ya meza ni moja ya michezo inayochezwa katika Mashindano ya Umoja wa Michezo ya Shule za Sekondari Tanzania (UMISSETA 2023) Mkoani Tabora, ambao vijana kutoka mikoa mbalimbali yameendelea kushindana. Katika Michezo iliyochezwa Asubuhi ya Tarehe 19 Juni 2023 kwenye Ukumbi wa Shule ya Sekondari Tabora…
Read More »MPIRA WA MEZA UMISSETA 2023
BRYSON MSHANA, TABORA mtwarapressclub@gmail.com Mpira ya meza ni moja ya michezo inayochezwa katika Mashindano ya Umoja wa Michezo ya Shule za Sekondari Tanzania (UMISSETA 2023) Mkoani Tabora, ambao vijana kutoka mikoa mbalimbali yameendelea kushindana. Katika Michezo iliyochezwa Tarehe 20 Juni 2023 kwenye Ukumbi wa Shule ya Sekondari Tabora Wasichana, Mkoa…
Read More »PWANI, MANYARA, SHINYANGA MABINGWA RIADHA MITA 100 NA 1,500
BRYSON MSHANA, TABORA mtwarapressclub@gmail.com Mikoa ya Pwani na Manyara imeng’ara kwenye fainali baada ya kuibuka mabingwa wa riadha mita 100 na 1,500 wasichana na wavulana katika Mashindano ya Umoja wa Michezo ya Shule za Sekondari Tanzania (UMISSETA 2023) Mkoani Tabora. Fainali ya kwanza ya riadha UMISSETA 2023 imefanyika Leo Asubuhi…
Read More »UMISSETA YAINGIA SIKU YA NNE TABORA
BRYSON MSHANA, TABORA mtwarapressclub@gmail.com Mashindano ya Umoja wa Michezo ya Shule za Sekondari Tanzania (UMISSETA 2023) yameingia siku ya nne Mkoani Tabora yanakofanyika kitaifa, huku timu kutoka mikoa mbalimbali zikiendelea kushindana katika michezo tofauti. Michezo iliyochezwa Tarehe 18 Juni 2023 ni pamoja na Riadha Wasichana na Wavulana iliyoanza mapema Saa…
Read More »








