Michezo na Burudani
ARUSHA, MTWARA ZAANZA VIZURI UMISSETA 2023 TABORA
BRYSON MSHANA, TABORA mtwarapressclub@gmail.com Mikoa ya Arusha na Mtwara imeanza vizuri katika michezo ya Mashindano ya Umoja wa Michezo ya Shule za Sekondari Tanzania (UMISSETA 2023) iliyochezwa Juni 16, 2023 Mjini Tabora. Mabingwa watetezi wa Mpira wa Kikapu wasichana Mkoa wa Arusha, walikutana na Mkoa wa Katavi katika Mchezo uliochezwa…
Read More »MIKOA YAANZA KUSHINDANA UMISSETA 2023 TABORA
BRYSON MSHANA, TABORA mtwarapressclub@gmail.com Wawakilishi kutoka Mikoa mbalimbali nchini wameanza kushindana katika Mashindano ya Umoja wa Michezo ya Shule za Sekondari Tanzania (UMISSETA 2023) iliyofunguliwa Juni 15, 2023 Mjini Tabora. Mashindano ya UMISSETA 2023, yanaandaliwa na kusimamiwa na Ofisi ya Rais – TAMISEMI kwa kushirikiana na Wizara ya Elimu, Sayansi…
Read More »MTWARA BINGWA WAVU WASICHANA UMITASHUMTA 2023
BRYSON MSHANA, TABORA mtwarapressclub@gmail.com Mkoa wa Mtwara ambao ni Mbingwa watetezi wa mpira wa Wavu Wasichana, wamefanikiwa kutetea Ubingwa katika Mashindano ya Umoja wa Michezo na Taaluma kwa wanafunzi wa Shule za Msingi Tanzania (UMITASHUMTA) yanayoendelea Mkoani Tabora. Matokeo haya yameipelekea Mtwara kuchukua Ubingwa mfululizo tangu mwaka 2003 na kuweka…
Read More »MWANZA MABINGWA SOKA WAVULANA – UMITASHUMTA 2023
BRYSON MSHANA, TABORA mtwarapressclub@gmail.com Mkoa wa Mwanza umeibuka mabingwa wa mchezo wa Soka Wavulana, katika Mashindano ya Umoja wa Michezo na Taaluma kwa wanafunzi wa Shule za Msingi Tanzania (UMITASHUMTA) Mkoani Tabora. Mwaza wamepata ubingwa baada ya kuwafunga mabingwa watetezi Mkoa wa Dar es salaam, ambao mwaka uliopita waliwashinda wenyeji…
Read More »PEMBA MABINGWA KIKAPU WAVULANA – UMITASHUMTA 2023
BRYSON MSHANA, TABORA mtwarapressclub@gmail.com Wawakilishi kutoka visiwani Zanzibar, Timu ya mpira wa Kikapu Wavulana Kanda ya Pemba wametwaa Ubingwa kwenye Mashindano ya Umoja wa Michezo na Taaluma kwa wanafunzi wa Shule za Msingi Tanzania (UMITASHUMTA) yanayoendelea Mkoani Tabora. Pemba imeibuka na ushindi baada ya kuifunga Dar es salaam Vikapu 51…
Read More »ARUSHA MABINGWA KIKAPU WASICHANA – UMITASHUMTA 2023
BRYSON MSHANA, TABORA mtwarapressclub@gmail.com Mkoa wa wa Arusha umetwaa Ubingwa wa mchezo wa mpira wa Kikapu Wasichana, kwenye Mashindano ya Umoja wa Michezo na Taaluma kwa wanafunzi wa Shule za Msingi Tanzania (UMITASHUMTA) yanayoendelea Mkoani Tabora. Arusha imeibuka na ushindi baada ya kuifunga Pemba kwa Vikapu 34 – 10 katika…
Read More »MWANZA, KIGOMA MABINGWA UMITASHUMTA RIADHA MITA 100 NA 200
BRYSON MSHANA, TABORA mtwarapressclub@gmail.com Mikoa ya Mwanza na Kigoma imeibuka mabingwa katika mchezo wa riadha mita 100 na 200 Wasichana na Wavulana katika Mashindano ya Umoja wa Michezo na Taaluma kwa wanafunzi wa Shule za Msingi Tanzania (UMITASHUMTA) yanayoendelea Mkoani Tabora. Katika mbio za Mita 100 Wasichana, Aisha Bakari kutoka…
Read More »DODOMA, SHINYANGA, ARUSHA NA TABORA MABINGWA UMITASHUMTA RIADHA MITA 800 NA 1500
BRYSON MSHANA, TABORA mtwarapressclub@gmail.com Mikoa ya Dodoma na Shinyanga imeibuka mabingwa katika mchezo wa riadha mita 800 na 1500 Wasichana na Wavulana katika Mashindano ya Umoja wa Michezo na Taaluma kwa wanafunzi wa Shule za Msingi Tanzania (UMITASHUMTA) yanayoendelea Mkoani Tabora. Kwa upande wa Wasichana, Angel Tomi kutoka mkoa wa…
Read More »UMITASHUMTA 2023, MWANZA NA SINGDA ZATINGA FAINALI SOKA MAALUM WASICHANA
BRYSON MSHANA, TABORA mtwarapressclub@gmail.com Timu za mikoa ya Mwanza na Singida zimeingia fainali ya mchezo wa Soka maalum wasichana, katika Mashindano ya Umoja wa Michezo na Taaluma kwa wanafunzi wa Shule za Msingi Tanzania (UMITASHUMTA) yanayoendelea Mkoani Tabora. Katika mchezo wa kwanza uliochezwa Jumapili Tarehe 11 Juni 2023 Saa 2…
Read More »MTWARA YATINGA FAIALI WAVU WASICHANA – UMITASHUMTA 2023
BRYSON MSHANA, TABORA mtwarapressclub@gmail.com Mabingwa watetezi wa mpira wa Wavu wasichaa Mkoa wa Mtwara, wamefanikiwa kuingia fainali kwenye Mashindano ya Umoja wa Michezo na Taaluma kwa wanafunzi wa Shule za Msingi Tanzania (UMITASHUMTA) yanayoendelea Mkoani Tabora. Mkoa wa Mtwara ambao ni mabingwa mara tisa mfulululizo wa UMITASHUMTA, wameingia fainali baada…
Read More »







