Michezo na Burudani
MANYARA YAONGOZA MICHEZO YA KURUSHA MKUKI
BRYSON MSHANA, TABORA mtwarapressclub@gmail.com Mkoa wa Manyara umeongoza katika mchezo wa riadha kurusha Mkuki Wasichana na Wavulana bada ya kuibuka washindi katika michezo iliyochezwa Ijumaa tarehe 09 Juni 2023 kwenye viwanja vya Shule ya Sekondri Wavulana Tabora. Manyara iliongoza kwa upande wa Wavulana na wasichana baada ya wachezaji wake Kikwete…
Read More »MWANZA YAZIDI KUTAMBA SOKA WASICHANA NA WAVULANA
BRYSON MSHANA, TABORA mtwarapressclub@gmail.com Timu za mpira wa miguu za wasichana kutoka mikoa ya Mwanza na Singida zimeendelea kufanya vizuri kwenye mshindano ya umoja wa Michezo na taaluma kwa wanafunzi wa Shule za Msingi Tanzania (UMITASHUMTA) yanayoendelea Mkoani Tabora. Katika mchezo namba 27 wa kundi A uliochezwa Tarehe 09 Juni…
Read More »UMITASHUMTA 2023, MTWARA YAIADHIBU UNGUJA NETIBOLI
BRYSON MSHANA, TABORA mtwarapressclub@gmail.com Timu ya Netiboli ya Mkoa wa Mtwara imeiubuka na ushindi mnono baada ya kuifunga Kanda ya Unguja jumla ya magoli 24 – 11 katika mchezo uliochezwa Asubuhi ya tarehe 7 Juni 2023 kwenye viwanja vya Shule ya Wasichana Tabora. Mchezo mwingine ulizikutanisha timu za Mikoa ya…
Read More »SERIKALI KUENDELEA KUIMARISHA NA KUBORESHA MICHEZO NCHINI
BRYSON MSHANA, TABORA mtwarapressclub@gmail.com SERIKALI ya awamu ya Sita imefanya jitihada kubwa katika kuendelea kuimarisha na kuboresha michezo katika shule za msingi na Sekondari nchini pamoja na vyuo vya ualimu nchini Hayo yamebainishwa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Angellah Kairuki leo…
Read More »UNGUJA YAZIDI KUTAMBA WAVU NA KIKAPU UMITASHUMTA 2023
BRYSON MSHANA, TABORA mtwarapressclub@gmail.com Timu za Mpira wa Wavu na Kikapu Wavulana kutoka Kanda ya Unguja Visiwani Zanzibar, zimeendelea kutamba katika mshindano ya umoja wa Michezo na taaluma kwa wanafunzi wa Shule za Msingi Tanzania (UMITASHUMTA) yanayoendelea Mkoani Tabora. Katika mchezo wa Mpira wa Wavu uliochezwa leo tarehe 7 Juni…
Read More »DKT.MPANGO AAGIZA UBORESHAJI MICHEZO MASHULENI
Angela Msimbira, TABORA mtwarapress@gmail.com MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Isdor Mpango ameziagiza wizara za kisekta kuhakikisha shule za msingi na sekondari inakuwa na mwalimu wa michezo ili kuboresha michezo nchini. Wizara hizo ni Ofisi ya Rais-TAMISEMI kwa kushirikiana na Wizara ya Elimu, Sayansi na…
Read More »SOKA WASICHANA GEITA YAIDHIBU SONGWE 8-0 UMITASHUMTA 2023
BRYSON MSHANA, TABORA mtwarapressclub@gmail.com Timu ya wasichana ya Mkoa wa Geita, imeibuka na ushindi mnono baada ya kupata ushindi wa magoli 8-0 dhidi ya Mkoa wa Songwe. Mchezo huo wa kusismua umechezwa Asubuhi ya Juni 5, 2023 kwenye Uwanja B wa Shule ya Sekondari Wavulana Tabora. Mchezo mwingine katika Uwanja…
Read More »WENYEJI TABORA WAENDELEZA USHINDI MPIRA WA MIKONO
BRYSON MSHANA, TABORA mtwarapressclub@gmail.com Timu za mpira wa mikono wavulana na Wasichana za Mkoa wa Tabora, zimeendelea kufanya vizuri baada ya kupata ushindi wa magoli 32-10 dhidi ya Mkoa wa Mbeya. Mchezo huo ulichezwa katika viwanja vya shule ya Sekondari wasichana Tabora,ukifuatiwa na mchezo mwingine kati ya Mikoa ya Mwanza…
Read More »UMITASHUMTA 2023, MIKOA YAENDELEA KUSHINDANA NETIBOLI
BRYSON MSHANA, TABORA mtwarapressclub@gmail.com Timu za wasichana kutoka mikoa mbalimbali zimeendelea kushindana kwenye mchezo wa Netiboli, katika mshindano ya umoja wa Michezo na taaluma kwa wanafunzi wa Shule za Mshingi Tanzania (UMITASHUMTA) yanayoendelea mkoani Tabora. Katika michezo iliyochezwa leo tarehe 5 Juni 2023 majira ya asubuhi kwenye viwanja vya shule…
Read More »UMITASHUMTA YAINGIA SIKU YA PILI TABORA
BRYSON MSHANA, TABORA Michezo ya wanafunzi wa Shule za Mshingi Tanzania (UMITASHUMTA) imeingia siku ya pili Katika mji wa Tabora Mkoani Tabora, huku michezo mbalimbali ikiendelea kuchezwa. Katika michezo iliyochezwa mapema Saa 2 asubuhi ya tarehe 04 Juni 2023, Timu za soka kwa wasichana kutoka Mikoa ya Mtwara na Pwani…
Read More »









