Michezo na Burudani
MTWARA YAANZA VIZURI UMITASHUMTA 2023
BRYSON MSHANA, TABORA mtwarapressclub@gmail.com Timu ya Mpira wa Wavu ya Wasichana kutoka Mkoa wa Mtwara, imeanza vizuri mshindano ya ya umoja wa Michezo na taaluma kwa wanafunzi wa Shule za Mshingi Tanzania (UMITASHUMTA) kufuatia ushindi ilioupata dhidi ya Timu ya mkoa wa Tanga. Katika mchezo uliochezwa mapema Juni 03, 2023…
Read More »MIKOA YAANZA KUSHINDANA UMITASHUMTA 2023
BRYSON MSHANA, TABORA mtwarapressclub@gmail.com Timu kutoka Mikoa mbalimbali zimeanza kushindana katika michezo ya UMITASHUMTA 2023 iliyoanza Juni 03, 2023 Mjini Tabora. Michezo hiyo ambayo imefanyika katika viwanja vya shule za Sekondari Tabora wasichana na wavulana, inajumuisha mpira wa Netibali, Mpira wa Wavu (wasichana na Wavulana), Mpira wa miguu kawaida (Wasichana…
Read More »MICHEZO YA UMITASHUMTA 2023 YAFUNGULIWA TABORA
BRYSON MSHANA, TABORA mtwarapressclub@gmail.com Mashindano ya umoja wa Michezo na taaluma kwa wanafunzi wa Shule za Mshingi Tanzania (UMITASHUMTA) yamefunguliwa Mjini Tabora ambapo yanafanyika kitaifa na kuhusisha mikoa yote ya Tanzania. Mashindano hayo amabayo yanahusisha michezo mbalimbali yamefunguliwa Juni 03, 2023 na Naibu Katibu mkuu anayeshughulikia Elimu Ofisi ya Rais…
Read More »TETESI ZA SOKA BARANI ULAYA MEI 11, 2023
Kipa wa Tottenham na Ufaransa Hugo Lloris, 36, ana ofa ya kucheza Saudi Arabia msimu ujao kwa mshahara ambao ni mara tatu ya ule anaopokea sasa katika klabu ya Spurs. (Times – usajili unahitajika) Newcastle wamefufua nia yao ya kumnunua kiungo wa Leicester mwenye umri wa miaka 26 James Maddison.…
Read More »TETESI ZA SOKA BARANI ULAYA JUMATANO TAREHE 10 MEI 2023
Manchester United wamefanya mazungumzo na Benfica kuhusu mkataba wenye thamani ya hadi £100m, ikijumuisha nyongeza, kwa ajili ya mshambuliaji wa Ureno Goncalo Ramos, 21. (Mirror). Chelsea wanatumai kuwa uteuzi wa Mauricio Pochettino kama meneja unaweza kumshawishi kiungo wa Ufaransa N’Golo Kante, 32, kusaini mkataba mpya Stamford Bridge. (Telegraph – usajili…
Read More »AZAM FC YAICHAPA SIMBA SC NA KUTINGA FAINALI YA ASFC
MUSSA MTEPA, MTWARA mtwarapressclub@gmail.com HAUKUWA Msimu wa Mafanikio kwa Simba SC ndivyo unaweza kusema! baada ya kutupwa nje kwa mbao 2-1 na Azam FC katika hatua ya Nusu Fainali Kombe la Azam Sports Federation Cup (ASFC) mchezo uliopigwa uwanja wa Nangwanda mkoani Mtwara Mei 7, 2023. Azam FC walianza kupata…
Read More »YANGA SC YATINGA NUSU FAINALI CAF, SASA KUCHEZA NA MARUMO GALLANTS
MWANDISHI WETU, DAR ES SALAAM mtwarapressclu@gmail.com LICHA ya kutoka sare ya bila kufunga Timu ya Yanga SC imeandika historia Tanzania na ukanda wa Afrika Mashariki na Kati kwa mara ya kwanza imetinga hatua ya Nusu Fainali ya Michuano ya Kombe la Shirikisho barani Afrika baada ya kutoka sare ya kutofungana…
Read More »SIMBA SC YASHINDWA KUTINGA NUSU FAINALI CAF
KWA Mara nyingine Simba SC imeshindwa KUTINGA hatua ya Nusu Fainali ya Klabu Bingwa Afrika baada ya kuondoshwa kwa Mikwaju ya Penalti 4_3 na Wydad Casablanca mchezo uliopigwa uwanja wa Mohamed V nchini Morocco. Katika dakika 90 Simba SC ilifungwa bao 1_0 lililofungwa na Mshambuliaji Bouly Sambou dakika ya 24…
Read More »YANGA SC YATANGULIZA MGUU NUSU FAINALI
MWANDISHI WETU, mtwarapressclub@gmail.com WAWAKILISHI Pekee ukanda wa Afrika Mashariki na Kati Timu ya Yanga SC wamelipa kisasi baada ya kuwachapa mabao 2-0 wenyeji Rivers United mchezo wa Kombe la Shirikisho barani Afrika hatua Robo ya Fainali mchezo huo umepigwa katika uwanja wa Godswill Akpabio nchini Nigeria Aprili 23,2023. Kipindi cha…
Read More »YANGA SC YAZIDI KUUKARIBIA UBINGWA
BRYSON MSHANA, mtwarapressclub@gmail.com MABINGWA Watetezi Yanga SC wameendelea kuukaribia Ubingwa wa 29 mara baada ya kuizamisha mabao 5-0 Kagera Sugar Mchezo wa Ligi Kuu ya NBC uliopigwa Aprili 11, 2023 uwanja wa Chamazi Complex Azam nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam. Yanga walienda mapumziko wakiwa mbele ya mabao…
Read More »









