Michezo na Burudani
GBT YATOA ELIMU KWA WATENDAJI WA MKOA WA PWANI
MWANDISHI WETU, KIBAHA mtwarapressclub@gmail.com MKUU wa Mkoa wa Pwani Alhaj Aboubakar Kunenge amehimiza ushirikiano baina ya Taasisi za Umma, Binafsi na watendaji kwenye Halmashauri ili kazi ya kuwatumikia wananchi iwe rahisi. Ameyasema hayo Machi 30, 2023 wakati akifungua semina ya kujenga uelewa wa shughuli za taasisi mbalimbali za umma na…
Read More »NAIBU WAZIRI WA MICHEZO ATEMBELEA BMT
Naibu Waziri wa wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamis Mwinjuma (kushoto) akizungumza na watumishi wa Baraza la Michezo la Taifa (BMT) wakati alipotembelea ofisi za baraza hilo kwa lengo la kuona shughuli mbalimbali zinazofanywa na baraza hilo Machi 16, 2023 jijini Dar es Salaam. Watumishi wa Baraza la Michezo…
Read More »KAMATI YA BUNGE KUTEMBELEA MIRADI YA WIZARA YA UTAMADUNI, SANAA NA MICHEZO
ELEUTERI MANGI, WUSM DODOMA www.mtwarapressblog.co.tz Kamati ya kudumu ya Bunge ya Elimu, Utamaduni na Michezo imepokea na kujadili taarifa ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo ambayo ipo chini ya Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo iliyotengewa fedha kwa mwaka wa 2022/2023. Kamati hiyo yenye wajumbe 21 imepokea taarifa hiyo Machi…
Read More »TANGA ILIVYOTIA FORA KWENYE HAMASA NA USHANGILIAJI UMITASHUMTA 2022.
BRYSON MSHANA www.mtwarapressblog.co.tz Ni washiriki wa mashindano ya michezo ya shule za msingi nchini Tanzania (UMITASHUMTA) ambayo yalihusisha mikoa yote ya Bara na Visiwani. Mashindano haya yanafanyika kitaifa mkoani Tabora ambapo yalianza Julai 29,2022 na kumalizika Agusti 9,2022. Mashindano haya yaliendana na burudani mbalimbali kutoka kwa wanafunzi ambao walisheheni vipaji…
Read More »MAJIMAJI FC FAHARI YA MKOA WA RUVUMA
www.mtwarapressblog.co.tz MAJIMAJI ni miongoni mwa timu maarufu za soka hapa nchini ambayo ina historia ndefu ukiachia timu za Simba na Yanga ambazo zimedumu kwa muda wote zikicheza ligi kuu bara na kuwa na wapenzi lukuki kila kona ya nchi yetu. Hakuna ubishi Timu ya Majimaji inafuatia kwa kuwa na washabiki…
Read More »


