HAKUNA KAMATA KAMATA TENA KWA WANAHABARI
MWANDISHI WETU, KATAVI mtwarapressclub@gmail.com Mabadiliko makubwa yaliyofanywa na jeshi la polisi, yameelezwa kuwa chanzo cha kupungua kwa vitendo vya ukamatwaji holela wa waandishi wa habari wanapokuwa…
MZEE WA MIAKA 74 ATUHUMIWA KUMBAKA MTOTO WA MIAKA 10
MWANDISHI WETU, MTWARA mtwarapressclub@gmail.com Jeshi la Polisi Mkoa wa Mtwara linamshikilia Hemed Mshamu (74) mkazi wa mtaa wa Rwelu Manispaa ya Mtwara Mikindani, kwa tuhuma za…
DKT. BITEKO AFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA NORWAY
MWANDISHI WETU, DAR ES SALAAM mtwarapressclub@gmail.com Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko leo amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Norway nchini,…
ZIARA YA DKT. BITEKO MTWARA NI KIELELEZO CHA SERIKALI KUENDELEA KUIFUNGUA MIKOA YA KUSINI
BRYSON MSHANA, MTWARA mtwarapressclub@gmail.com NOVEMBA 13, 2023 Naibu waziri Mkuu ambaye pia ni waziri wa nishati Dkt. Dotto Biteko alianza ziara ya siku tatu Mkoani Mtwara…
HUWEZI KUTENGANISHA JIJI LA DAR NA SOKO LA KARIAKOO’ MCHENGERWA
OR-TAMISEMI WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mohamed Mchengerwa amesema ameridhishwa na ukarabati na ujenzi wa Soko Kuu la…
MUUNGENI MKONO SHAMSIA ANAFANYA KAZI NZURI-DKT. BITEKO
JUMA MOHAMED, MTWARA mtwarapressclub@gmail.co Naibu Waziri Mkuu wa Tanzania na Waziri wa Nishati Dkt. Dotto Biteko, amewataka wakazi wa Mtwara kuondoa tofauti za vyama vya siasa…
DKT. BITEKO AZUIA VIFAA VYA UMEME KUNUNULIWA NJE YA NCHI
MWANDISHI WETU, MTWARA mtwarapressclub@gmail.com Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko ametoa katazo kwa kampuni zinazosimamia na kutekeleza miradi ya umeme nchini, kutonunua…
DKT. BITEKO AMUONDOA MENEJA MAWASILIANO TPDC BAADA YA MALALAMIKO YA WANANCHI MSIMBATI
MWANDISHI WETU, MTWARA mtwarapressclub@gmail.com Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko ameagiza kuondolewa kwa Meneja Mawasiliano wa Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania…
TASAC NA MKAKATI WA UHIFADHI WA MAZINGIRA BAHARINI
BRYSON MSHANA, MTWARA mtwarapressclub@gmail.com Dunia inakabiliwa na mabadiliko ya tabia nchi na uchafuzi wa mazingira ambayo tayari yameanza kuleta athari hasi kwa binadamu, wanyama na viumbe…
MRADI WA UBORESHAJI WA MTO MSIMBAZI UTATATUA CHANGAMOTO ZA MIAKA 100 IJAYO
OR – TAMISEMI Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa amesema katika mradi wa Uboreshaji wa Mto Msimbaza unaotegemewa kuanza hivi karibu utatatua changamoto…








