Makala
KAMATI ZA USIMAMIZI WA MAAFA ZIKAFANYIE KAZI MAFUNZO YALIYOTOLEWA NA OFISI YA WAZIRI MKUU
BRYSON MSHANA, MTWARA mtwarapressclub@gmail.com Novemba 22, 2023 Naibu Waziri wa nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (sera, bunge na uratibu) Ummy Nderiananga alifungua mafunzo ya kuzijengea uwezo kamati za usimamizi wa maafa kutoka Wilaya za mkoa wa Mtwara. Mafunzo hayo yaliyoandaliwa na Ofisi ya Waziri Mkuu, yaliambatana na ziara ya Naibu…
Read More »ZIARA YA DKT. BITEKO MTWARA NI KIELELEZO CHA SERIKALI KUENDELEA KUIFUNGUA MIKOA YA KUSINI
BRYSON MSHANA, MTWARA mtwarapressclub@gmail.com NOVEMBA 13, 2023 Naibu waziri Mkuu ambaye pia ni waziri wa nishati Dkt. Dotto Biteko alianza ziara ya siku tatu Mkoani Mtwara akikagua na kuzindua miradi mbalimbali ya maendeleo hususan katika eneo la Gesi asilia na umeme. Ziara hiyo ya Dkt. Biteko, ni ya tatu kufanywa…
Read More »UKOSEFU WA MAJI SAFI NA SALAMA UNAVYOZOROTESHA UCHUMI LONGIDO
ANDREA NGOBOLE, LONGIDO mtwarapressclub@gmail.com Ripoti mbalimbali za kila mwaka za wizara ya maji zinaonesha kwamba idadi ya watu wanaopata maji safi na salama katika maeneo ya vijijini ni ya kiwango cha chini ikilinganishwa na ile ya wanaoishi mjini, hata hivyo hali halisi inaweza kuwa mbaya Zaidi kulingana na jiografia ya…
Read More »KUKOSEKANA UHURU WA KUJIELEZA KUNAVYOATHIRI UTENDAJI KAZI WA WANAWAKE
HAIKA KIMARO, MTWARA mtwarapressclub@gmail.com Kutokana na baadhi ya wanawake kukosa au kunyimwa uhuru wa kijieleza ndani ya taasisi mbalimbali au maeneo ya kazi kunatajwa kudhorotesha utendaji kazi na ufanisi na hivyo kuonekana hawawezi kutekeleza majukumu yao ipasavyo. Kukosekana kwa uhuru huo kunapelekea wengi kukaa kimya na kushindwa kujieleza kuhusu mambo…
Read More »TARI–MAENEO MENGI MIKOA YA KUSINI YANAFAA KWA KILIMO CHA MBAAZI
BRYSON MSHANA, MTWARA mtwarapressclub@gmail.com Mbaazi ni zao la chakula ambalo pia linaweza kulimwa kama zao la biashara likionesha kuwa na soko zuri katika miaka ya hivi karibuni kutokana na mahitaji yake kuongezeka ndani na nje ya nchini. Mikoa ya Lindi na Mtwara ina jumla ya eneo linalofaa kwa kilimo cha…
Read More »TARI – NALIENDELE NA MKAKATI WA KUENDELEZA ZAO MA MUHOGO MIKOA YA KUSINI
BRYSON MSHANA, MTWARA mtwarapressclub@gmail.com Muhogo ni miongoni mwa mazao makuu ya chakula nchini Tanzania ikikadiriwa kuwa zaidi ya tani milioni nane (8) za muhogo mbichi zinazalishwa nchini kwa mwaka. Kanda ya ziwa inaongoza kwa uzalishaji wa Muhogo kwa (37%), ikifuatiwa na Kanda ya Kusini (28%) na Kanda ya Mashariki (12%),…
Read More »MKUTANO WA KIMATAIFA WA KOROSHO NI FURSA KWA TANZANIA
BRYSON MSHANA, MTWARA mtwarapressclub@gmail.com Julai 14, 2023 Serikali ya Tanzania kupitia Bodi ya Korosho Tanzania (CBT) ilitangaza kuanza maandalizi ya Mkutano wa Kimataifa wa Korosho utakaohusisha zaidi ya Mataifa 30 yanayolima zao la Korosho Duniani. Kwa mujibu wa taarifa kutoka Bodi ya Korosho Tanzania, Mkutano huo wa kihistoria kwa nchi…
Read More »HONGERA RAIS DK. SAMIA KUOMBA MKATABA WA AGOA UONGEZWE HADI 2030
BRYSON MSHANA, MTWARA mtwarapressclub@gmail.com +255 787 568 733 Machi 29, 2023 Tanzania ilipokea ugeni wa kihistoria kwa kutembelewa na Makamu wa Rais wa Marekani, Kamala Harris akiwa katika ziara ya kumarisha ushikiano baina ya mataifa haya mawili ambao uliasisiwa zaidi ya miaka 60 iliyopita. Kiongozi huyo alipokelewa na mwenyeji wake…
Read More »MARADI WA “JENGA AMANI YETU” ULIVYOBADILISHA MITAZAMO YA WADAU KATIKA KUTATUA MIGOGORO MKOANI MTWARA.
BRYSON MSHANA, MTWARA www.mtwarapressblog.co.tz SHIRIKA la kimataifa la Search for Common Ground linalojishughulisha na uhamasishaji wakutunza amani katika jamii, na kufadhiliwa na umoja wa Ulaya (European Union) kwa takriban miezi 30 iliyopita limekuwa likiwajengea uwezo wadau mbalimbali katika mkoa wa Mtwara kuendeleza na kutunza amani Nchini. Mradi wa Jenga Amani Yetu,…
Read More »DORICE MKIVA – MSHINDI WA TUZO YA VIJANA CHIPUKIZI TANZANIA KATIKA UJUMUISHWAJI WA WATU WENYE ULAMAVU, ANATAMANI KUWA MBUNGE AU WAZIRI.
BRYSON MSHANA www.mtwarapressblog.co.tz Agusti 27, 2022 ilifanyika hafla ya kutoa tuzo kwa Vijana Chipukizi Tanzanaia ukumbi wa Julius Nyerere Dar es Salaam , zilizolenga kutambua mchango wao chanya katika sekta mbalimbali za kimaendeleo, jamii na taifa kwa ujumla. Tuzo hizo ziliandaliwa na Taasisi ya Africa Youth Transformation inayojishughulisha na uwezeshaji…
Read More »









