Makala
ASASI ZA KIRAIA ZIENDELEE KUKUMBUSHWA UMUHIMU WA KUZINGATIA SHERIA ZA NCHI
BRYSON MSHANA, MTWARA www.mtwarapressblog.co.tz Msingi wa kuanzishwa kwa mashirika yasiyo ya kiserikali hapa nchini Tanzania unatokana na Ibara ya 20 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya (1977), ambayo inatoa uhuru wa mtu kushirikiana na wengine. Uhuru huo kikatiba unaenda sambamba na mikataba mbalimbali ya kimataifa na kikanda…
Read More »IBO ITALIA MKOMBOZI WA WATOTO WENYE ULEMAVU IRINGA
BRYSON MSHANA, IRINGA www.mtwarapressblog.co.tz November 10, 2021 Shirika la Umoja wa Mataifa linalohudumia watoto UNICEF lilitoa ripoti iliyozinduliwa Jijini New York Marekani iliyozungumzia idadi ya watoto wenye ulemavu Duniani kufikia takriban milioni 240. Ripoti ilisema kuwa watoto wenye ulemavu wanakosa fursa ikilinganishwa na watoto wasio na ulemavu katika hatua nyingi…
Read More »

