KILO 310 ZA BANGI ZACHOMWA MOTO ARUMERU
PRISCA LIBAGA, MAELEZO – ARUSHA mtwarapressclub@gmail.com Shehena ya Bangi ikihusisha magunia 237 na kilo 310 za mbegu imeteketezwa kwa moto kufuatia operesheni iliyofanywa na Mamlaka ya…
SERIKALI KUKAMILISHA UJENZI WA NYUMBA 5,000 MSOMERA NDANI YA MIEZI SITA
HASSAN MABUYE, HANDENI – TANGA mtwarapressclub@gmail.com Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt. Stergomena Tax amesema Serikali inataraji kukamilisha ujenzi wa nyumba 5,000 ambazo…
CBT YAAHIDI KUTEKELEZA MAAGIZO YA MAKAMU WA RAIS KUHUSU UBANGUAJI WA KOROSHO
BRYSON MSHANA, DAR ES SALAAM mtwarapressclub@gmail.com Bodi ya Korosho Tanzania imeeleza kuwa imepokea na itayafanyia maagizo ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania…
WADAU WAPONGEZA MKUTANO WA KIMATAIFA WA KOROSHO
BRYSON MSHANA, DAR ES SALAAM mtwarapressclub@gmail.com Wadau mbalimbali wa sekta ya korosho, wamepongeza maandalizi ya Mkutano wa Kimataifa wa Zao la Korosho unaofanyika katika Kituo cha…
DKT. MPANGO AFUNGUA MKUTANO WA KIMATAIFA WA KOROSHO DAR
BRYSON MSHANA, DAR ES SALAAM mtwarapressclub@gmail.com Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango leo Octoba 11, 2023 amefungua Mkutano wa Kimataifa…
UKOSEFU WA MAJI SAFI NA SALAMA UNAVYOZOROTESHA UCHUMI LONGIDO
ANDREA NGOBOLE, LONGIDO mtwarapressclub@gmail.com Ripoti mbalimbali za kila mwaka za wizara ya maji zinaonesha kwamba idadi ya watu wanaopata maji safi na salama katika maeneo ya…
CHEMCHEM FOUNDATION KUGAWA BAISKELI KWA WENYE ULEMAVU BABATI
MWANDISHI WETU, BABATI mtwarapressclub@gmail.com Taasisi ya Utalii ya chemchem iliyoko wilaya ya Babati mkoa wa Manyara, imeanza kugawa Baiskeli bure kwa Watu wenye ulemavu wa miguu…
7 WAFARIKI KWA AJALI YA BARABARANI MKOANI LINDI
HADIJA OMARY, LINDI mtwarapressclub@gmail.com Watu 7 wamefariki dunia na wengine 22 wamejeruhiwa katika ajali ya barabarani iliyohusisha basi lenye namba za usajili T 604 DJJ aina…
WADAU WATAKIWA KUSHIRIKIANA KUBORESHA AFYA YA MSINGI NCHINI
OR – TAMISEMI mtwarapressclub@gmail.com Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-TAMISEMI Mohamed Mchengerwa amewataka wadau wa afya wanaofanya kazi nchini kuendeleza na kuimarisha ushirikiano na Serikali kupitia…
WATUMISHI TARURA WATAKIWA KUENDELEA KUFANYA KAZI KWA BIDII
MWANDISHI WETU, KIGOMA mtwarapressclub@gmail.com Mtendaji Mkuu wa Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) Mhandisi Victor H. Seff amekutana na watumishi wa TARURA Wilaya ya…









