RAIS KAGAME AKUTANA RAIS SAMIA IKULU JIJINI DAR ES SALAAM
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwa na Mgeni wake Rais wa Rwanda Paul Kagame mara baada ya kuwasili katika ukumbi wa…
WAZIRI MKUU ATOA MAAGIZO KUIMARISHA UHIFADHI ENDELEVU
MWANDISHI WETU, DODOMA mtwarapressclub@gmail.com WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amelitaka Jeshi la Polisi kuchunguza matukio yote yaliyotolewa taarifa kuhusu kuteswa, kuumizwa na kuuawa kwa baadhi ya Wananchi…
NI MIAKA 59 MUUNGANO TANGANYIKA & ZANZIBAR, MAGAZETI APRILI 26, 2023
SUBSCRIBE VIA EMAIL SHARE THIS: Facebook Twitter Google+ Pinterest Linkedin About MAIPAC BLOG SoraTemplates is a blogger resources site is a provider of high quality blogger template with premium looking…
WADAU WA ELIMU WATAKIWA KUSHIRIKIANA NA TAASISI YA ELIMU YA WATU WAZIMA
BRYSON MSHANA, MTWARA mtwarapressclub@gmail.com Viongozi na Wadau wa Elimu Mkoani Mtwara, wametakiwa kushirikiana na Uongozi wa Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima, ili kuhamasisha unasajli wa…
MKE WA RAIS ZANZIBAR ATEMBELEA VITUO VYA WATOTO
Mke wa Rais wa Zanzibar pia Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF) Mama Mariam Mwinyi (kulia) akiwasalimia baadhi ya Watoto katika Kituo cha Watoto…
UZINDUZI WA WIKI YA CHANJO KITAIFA KUFANYIKA MKOANI MANYARA
CATHERINE SUNGURA, DODOMA mtwqarapressclub@gmail.com Wizara ya Afya inaendelea kuikinga jamii ya Watanzania dhidi ya magonjwa yanayozuilika kwa Chanjo ambayo ni Kifua kikuu, Donda Koo, Kifaduro, Polio,…
YANGA SC YATANGULIZA MGUU NUSU FAINALI
MWANDISHI WETU, mtwarapressclub@gmail.com WAWAKILISHI Pekee ukanda wa Afrika Mashariki na Kati Timu ya Yanga SC wamelipa kisasi baada ya kuwachapa mabao 2-0 wenyeji Rivers United mchezo…
HABARI KATIKA MAGAZETI JUMATATU 24, 2023
SUBSCRIBE VIA EMAIL
MBEGU ZA KARANGA ZA MAJARIBIO KIGOMA ZAVUTIA WAKULIMA
MWANDISHI WETU, KIGOMA mtwarapressclub@gmail.com Mbegu za majaribio za zao la karanga zilizopelekwa mkoani kigoma zimewavutia wakulima wengi kutokana na uotaji wake ambao umeonyesha kutokuwa na magonjwa…








