‘HAKUNA MTU ANAYEPASWA KUACHWA NYUMA KWASABABU YA UKOSEFU WA MAJI’
Source, Michuzi TV mtwarapressclub@gmail.com SHIRIKA la WaterAid Tanzania imeendelea kusisitiza umuhimu wa usimamizi na uendelevu wa rasilimali zetu za thamani za maji na watoa maamuzi…
MAKAMU WA RAIS AFANYA MAZUNGUMZO NA TBL
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango akifanya mazungumzo na uongozi wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) wakiongozwa na Mwenyekiti wa…
VYOMBO VYA DOLA NA WANASHERIA KUSHIRIKIANA KUTOKOMEZA UJANGILI BABATI
MWANDISHI WETU, BABATI mtwarapressclub@gmail.com Ongezeko la matukio ya ujangili wa Twiga na uvamizi katika eneo la Jumuiya ya Hifadhi ya Wanyamapori Burunge sasa litaanza kushughulikiwa…
NMB YATENGA BILIONI 20 KUCHANGIA UKUAJI WA SEKTA YA KILIMO NCHINI
MWANDISHI WETU, DODOMA mtwarapressclub@gmail.com Benki ya NMB imetenga mikopo ya shilingi bilioni 20 itakayotumika kuchangia maendeleo ya sekta ya kilimo nchini ikiwa ni dhamira ya benki…
GGML,HALMASHAURI ZASAINI MAKUBALIANO YA CSR SH BILIONI 19 GEITA
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji Geita Gold Mining Limited, Elder Damon pamoja (kulia) na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Geita, Zahara Michuzi (kushoto) wakionesha makubaliano waliyosaini kwa ajili…
UTAFITI WA VIWANDA NI MUHIMU UWEZESHWE
Katibu Mkuu Wizara ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara Dkt. Hashil Abdallah akiwakilisha Taarifa ya Utekelezaji wa Bajeti ya mwaka 2022/2023 kwa Kamati ya Kudumu ya Bunge…
WAZIRI MABULA AZINDUA KITABU CHA BUILDING THE JUST CITY IN TANZANIA
MUNIR SHEMWETA, WANMM www.mtwarapressblog.co.tz Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula amezindua kitabu kinachojulikana kwa jina la Bulding the Just City in…
SERIKALI YAELEKEZA KIWANDA KUTATUA CHANGAMOTO YA KIMAZINGIRA
MWANDISHI WETU, ARUSHA www.mtwarapressblog.co.tz Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Khamis Hamza Khamis ameelekeza kiwanda cha nguo cha A to Z kilichpo…
WASIORUDISHA MIKOPO YA ASILIMIA 10 KUCHUKULIWA HATUA ACHINGWEA
MWANDISHI WETU, NACHINGWEA www.mtwarapressblog.co.tz Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Nachingwea Mkoani Liondi Adinani Mpyagila ametangaza kuchukuliwa hatua kwa vikundi vyote ambavyo vimekuwa havirudishi mikopo ya…
WAELEZENI MAZURI YALIYOFANYWA NA RAIS SAMIA
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Komred Abdulrahman Kinana Akipokea tuzo ya pongezi kwa Kuchaguliwa kuendelea kuwa Makamu Mwenyekiti wa (CCM) Tanzania Bara kwa Mwenyekiti…









