MTWARA BINGWA WAVU WASICHANA UMITASHUMTA 2023
BRYSON MSHANA, TABORA mtwarapressclub@gmail.com Mkoa wa Mtwara ambao ni Mbingwa watetezi wa mpira wa Wavu Wasichana, wamefanikiwa kutetea Ubingwa katika Mashindano ya Umoja wa Michezo na…
MWANZA MABINGWA SOKA WAVULANA – UMITASHUMTA 2023
BRYSON MSHANA, TABORA mtwarapressclub@gmail.com Mkoa wa Mwanza umeibuka mabingwa wa mchezo wa Soka Wavulana, katika Mashindano ya Umoja wa Michezo na Taaluma kwa wanafunzi wa Shule…
HABARI KATIKA MAGAZETI YA JUNI 13, 2023
SUBSCRIBE VIA EMAIL
PEMBA MABINGWA KIKAPU WAVULANA – UMITASHUMTA 2023
BRYSON MSHANA, TABORA mtwarapressclub@gmail.com Wawakilishi kutoka visiwani Zanzibar, Timu ya mpira wa Kikapu Wavulana Kanda ya Pemba wametwaa Ubingwa kwenye Mashindano ya Umoja wa Michezo na…
ARUSHA MABINGWA KIKAPU WASICHANA – UMITASHUMTA 2023
BRYSON MSHANA, TABORA mtwarapressclub@gmail.com Mkoa wa wa Arusha umetwaa Ubingwa wa mchezo wa mpira wa Kikapu Wasichana, kwenye Mashindano ya Umoja wa Michezo na Taaluma kwa…
MWANZA, KIGOMA MABINGWA UMITASHUMTA RIADHA MITA 100 NA 200
BRYSON MSHANA, TABORA mtwarapressclub@gmail.com Mikoa ya Mwanza na Kigoma imeibuka mabingwa katika mchezo wa riadha mita 100 na 200 Wasichana na Wavulana katika Mashindano ya Umoja…
DODOMA, SHINYANGA, ARUSHA NA TABORA MABINGWA UMITASHUMTA RIADHA MITA 800 NA 1500
BRYSON MSHANA, TABORA mtwarapressclub@gmail.com Mikoa ya Dodoma na Shinyanga imeibuka mabingwa katika mchezo wa riadha mita 800 na 1500 Wasichana na Wavulana katika Mashindano ya Umoja…
UMITASHUMTA 2023, MWANZA NA SINGDA ZATINGA FAINALI SOKA MAALUM WASICHANA
BRYSON MSHANA, TABORA mtwarapressclub@gmail.com Timu za mikoa ya Mwanza na Singida zimeingia fainali ya mchezo wa Soka maalum wasichana, katika Mashindano ya Umoja wa Michezo na…
MTWARA YATINGA FAIALI WAVU WASICHANA – UMITASHUMTA 2023
BRYSON MSHANA, TABORA mtwarapressclub@gmail.com Mabingwa watetezi wa mpira wa Wavu wasichaa Mkoa wa Mtwara, wamefanikiwa kuingia fainali kwenye Mashindano ya Umoja wa Michezo na Taaluma kwa…








