WAKULIMA NAMTUMBO WASHINDA FEDHA NA PIKIPIKI ZA NMB
AlBANO MIDELO,NAMTUMBO BENKI ya NMB imezindua kampeni ya Bonge la Mpango Mchongo wa kilimo katika Kanda ya Kusini ambapo wakulima watano na Chama kimoja cha Ushirika cha…
MANYARA YAONGOZA MICHEZO YA KURUSHA MKUKI
BRYSON MSHANA, TABORA mtwarapressclub@gmail.com Mkoa wa Manyara umeongoza katika mchezo wa riadha kurusha Mkuki Wasichana na Wavulana bada ya kuibuka washindi katika michezo iliyochezwa Ijumaa tarehe…
MWANZA YAZIDI KUTAMBA SOKA WASICHANA NA WAVULANA
BRYSON MSHANA, TABORA mtwarapressclub@gmail.com Timu za mpira wa miguu za wasichana kutoka mikoa ya Mwanza na Singida zimeendelea kufanya vizuri kwenye mshindano ya umoja wa Michezo…
HABARI KATIKA MAGAZETI JUMAMOSI JUNI 10, 2023
SUBSCRIBE VIA EMAIL
UMITASHUMTA 2023, MTWARA YAIADHIBU UNGUJA NETIBOLI
BRYSON MSHANA, TABORA mtwarapressclub@gmail.com Timu ya Netiboli ya Mkoa wa Mtwara imeiubuka na ushindi mnono baada ya kuifunga Kanda ya Unguja jumla ya magoli 24 –…
SERIKALI KUENDELEA KUIMARISHA NA KUBORESHA MICHEZO NCHINI
BRYSON MSHANA, TABORA mtwarapressclub@gmail.com SERIKALI ya awamu ya Sita imefanya jitihada kubwa katika kuendelea kuimarisha na kuboresha michezo katika shule za msingi na Sekondari nchini pamoja…
UNGUJA YAZIDI KUTAMBA WAVU NA KIKAPU UMITASHUMTA 2023
BRYSON MSHANA, TABORA mtwarapressclub@gmail.com Timu za Mpira wa Wavu na Kikapu Wavulana kutoka Kanda ya Unguja Visiwani Zanzibar, zimeendelea kutamba katika mshindano ya umoja wa Michezo…
MABORESHO MAKUBWA YAJA NDANI YA JESHI LA POLISI
Mwandishi Wetu,Dar es Salaam mtwarapressclub@gmail.com Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,Mhandisi Hamad Masauni ameweka wazi baadhi ya maeneo ambayo wizara imepanga kuyafanyia maboresho makubwa ili…
DKT.MPANGO AAGIZA UBORESHAJI MICHEZO MASHULENI
Angela Msimbira, TABORA mtwarapress@gmail.com MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Isdor Mpango ameziagiza wizara za kisekta kuhakikisha shule za msingi na…









