WAANDISHI WA HABARI MTWARA WAPEWA MAFUNZO YA USALAMA WA KIDIJITALI
BRYSON MSHANA, MTWARA mtwarapressclub@gmail.com Waandishi wa habari 25 wanaowakilisha vyombo mbalimbali vya habari Mkoani Mtwara, wameshiriki mafunzo ya kujengewa uwezo usalama wa kijitali yaliyoendeshwa na Taasisi…
MABORESHO BANDARI YA MTWARA YAMEONGEZA UFANISI: KANALI AHMED ABAS
RAMLA MASALI, MTWARA mtwarapressclub@gmail.com Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Kanali Ahmed Abbas ameeleza kuwa uwekezaji wa Bandari uliofanywa na serikali ya awamu ya sita, umeongeza uwezo…
RAIS SAMIA KUWASILI MTWARA SEPTEMBA 14, 2023
RAMLA MASALI, MTWARA mtwarapressclub@gmail.com Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan anatarajia kufanya ziara katika Mkoa wa Mtwara kuanzia tarehe 14 mpaka…
WAKAGUZI WA JESHI LA POLISI WAHITIMU MAFUNZO YA UTAYARI MTWARA
MWANDISHI WETU, MTWARA mtwarapressclub@gmail.com Wakaguzi wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Mtwara wametakiwa kuwatumikia wananchi ikiwa ni pamoja na kutatua changamoto za kiusalama zinazowakabili katika maeneo…
MTWARA YAZINDUA MRADI WA PJT-MMMAM
GREGORY MILANZI, MTWARA mtwarapressclub@gmail.com Mkoa wa Mtwara umezindua Programu Jumuishi ya Taifa ya Malezi, makuzi na maendeleo ya awali ya mtoto (PJT-MMMAM), program inalenga maeneo makuu…
WAWEKEZAJI MNAKARIBISHWA MBINGA DC” MARTINA NGAHI
SILIVIA ERNEST, MBINGA mtwarapressclub@gmail.com Kaimu Mkuu wa Idara ya Viwanda, Bishara na Uwekezaji Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga Bi. Martina Ernest Ngahi ametoa wito kwa wawekezaji…
MBINGA DC YAVUKA LENGO UKUSANYAJI WA MAPATO
SILVIA ERNEST, MBINGA mtwarapressclub@gmail.com Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga imevuka lengo katika ukusanyaji wa mapato kwa kukusanya mapato ya ndani kiasi cha shilingi Bil. 6.478 katika…
TETESI ZA USAJILI BARANI ULAYA TAREHE 25 AGUSTI2023
KWA HISANI YA BBC mtwarapressclub@gmail.com Klabu ya Crystal Palace ya nchinbi Uingereza, wanapanga kujariu kumsajili mchezaji huru wa Ubelgiji Eden Hazard kwa kumpa mshambuliaji huyo wa…
KUNDI LA 19 LA WANANCHI WANAOHAMA NGORONGORO LAONDOKA.
MWADISHI WETU, GORONGORO mAtwarapressclub@gmail.com Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Mohamed Mchengerwa leo tarehe 24 Agosti, 2023 amewaaga rasmi wananchi kutoka eneo la Hifadhi ya Ngorongoro…
SERIKALI YADHAMIRIA KUREJESHA MINADA YA MADINI
Mwandishi Wetu, Dodoma mtwarapressclu@gmail.com Katibu Mtendaji wa Tume ya Madini Mhandisi Yahya Samamba, amesema katika kuhakikisha biashara ya Tanzanite inafanyika nje ya eneo la Mirerani Wizara…









