WANAFUNZI WATEMBELEA MIRADI YA GESI MTWARA
MWANDISHI WETU, MTWARA www.mtwarapressblog.co.tz Afisa Maendeleo ya Jamii wa shirika la Maendeleo ya Petrol Tanzania ( TPDC) ambaye pia ni Mratibu wa programu ya gasi mashuleni…
DKT. TULIA ACKSON AONGOZA KIKAO CHA KUNDI LA SADC
www.mtwarapressblog.co.tz Spika wa Bunge Tanzania, Dkt. Tulia Ackson ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kundi la Afrika katika Umoja wa Mabunge Duniani (Africa Geopolitical Group in the…
WAZIRI MKUU AHIMIZA MATUMIZI YA TEKNOLOJIA KATIKA UCHUMI WA MWANAMKE
www.mtwarapressblog.co.tz Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewataka wanawake wote na Watanzania kwa ujumla waendelee kuchangamkia fursa mbalimbali zinazotokana na matumizi ya teknolojia katika kujenga uchumi wa kidijitali.…
WAZIRI MCHENGERWA AFUNGUA KITUO CHA KISASA CHA HABARI SERENGETI.
MWANDISHI WETU, SERENGETI www.mtwarapressblog.co.tz Waziri wa Maliasili na Utalii, Mohamed Mchengerwa amefungua Kituo cha Habari cha kisasa chenye hadhi ya kimataifa kitakachotumika kutangaza vivutio mbalimbali vya…
RC MTWARA APONGEZA UJENZI WA KIWANDA CHA KUBANGUA KOROSHO NEWALA
MWANDISHI WETU, NEWALA www.mtwarapressblog.co.tz Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Kanal Ahmed Abbas amefurahishwa na juhudi za Chama Kikuu cha Ushirika TANECU kujenga kiwanda cha ubanguaji wa…
UZALISHAJI WA GESI ASILIA WAONGEZEKA
MWANDISHI WETU, MTWARA www.mtwarapressblog.co.tz Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC), limesema uzalishaji wa gesi asilia katika kiwanda cha kuchakata gesi hiyo cha Madimba Mkoani Mtwara,…
WAKULIMA WA KOROSHO WAPEWA MAFUNZO YA UNYEVU
MWANDISHI WETU, MTWARA www.mtwarapressblog.co.tz Wakulima wa zao la Korosho kata ya Njengwa, Halmashauri ya Mji Nanyamba, wameshauriwa kuwa na utaratibu wa kuanika Korosho zao kabla ya…
DOLA ZA MAREKANI MILIONI 8.5 KULIPA FAIDA WANANCHI KIGAMBONI
MWANDISHI WETU, DAR ES SALAAM www.mtwarapressblog.co.tz Naibu Waziri wa Madini, Dkt. Steven Kiruswa ameiagiza Kampuni ya Nyati Mineral Sands Ltd kuanza kulipa fidia wananchi wapatao 1,200…
CCM ARUSHWA WARIDHISHWA NA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAENDELEO
MWANDISHI WETU, MERU www.mtwarapressblog.co.tz Kamati ya Siasa Mkoa wa Arusha yaridhishwa na utekelezaji wa Ilani ya Chama Cha Mapindizi (CCM) katika Halmashauri ya Wilaya ya Meru,…








