WAZIRI MKUU: VIJANA MSIOGOPE KUKOPA MITAJI
MWANDISHI WETU, DAR ES SALAAM www.mtwarapressblog.co.tz WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka vijana wasiogope kukopa ili kupata fedha za mitaji ya kibiashara lakini pia akawasisitiza wawe tayari…
SERIKALI ITENGE BAJETI YA KUTOSHA MAENDELEO YA JAMI
MWANDISHI WETU, DODOMA www.mtwarapressblog.co.tz Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ustawi na Maendeleo ya Jamii Fatma Tawfiq ameishauri Serikali kutenga bajeti ya kutosha katika…
WATANZANIA WATAKIWA KUTHAMINI UTAMADUNI WA JAMII ZAO
MWANDISHI WETU, DAR ES SALAAM www.mtwarapressblog.co.tz Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Balozi Dkt. Pindi Chana amewaasa Watanzania kuheshimu, kuthamini na kujivunia utamaduni wa jamii zao.…
WIZARA YA ARDHI YAWASILISHA TAARIFA YA UTEKELEZAJI MAJUKUMU KWA KAMATI YA BUNGE
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula akizungumza mbele ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi Malisili na Utalii. Kulia ni…
MAWAKALA WA BIASHARA YA USAFIRISHAJI WATU WAKAMATWA JIJINI TANGA
MWANDISHI WETU, TANGA www.mtwarapressblog.co.tz Jeshi la uhamiaji mkoa wa Tanga limefanikiwa kuwanasa Mawakala wanne wanaojihusisha na biashara haramu ya usafirshaji wa binadam waliokuwa wamewahifadhi katika nyumba…
MATAMASHA YATUMIKE KUKEMEA VITENDO VINAVYOKIUKA MILA NA DESTURI
www.mtwarapressblog.co.tz MWENYEKITI wa Bodi ya Wakurugenzi wa Makumbusho ya Taifa Tanzani Dkt. Oswald Masebo ameshauri matamasha ya kumbukizi yatumike kukemea vitendo viovu vinavyokwenda kinyume na mila…
TANGA ILIVYOTIA FORA KWENYE HAMASA NA USHANGILIAJI UMITASHUMTA 2022.
BRYSON MSHANA www.mtwarapressblog.co.tz Ni washiriki wa mashindano ya michezo ya shule za msingi nchini Tanzania (UMITASHUMTA) ambayo yalihusisha mikoa yote ya Bara na Visiwani. Mashindano haya…
MABADILIKO MAKUBWA YANAHITAJIKA SEKTA YA ARDHI
HASSAN MABUYE, DODOMA www.mtwarapressblog.co.tz Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Geophrey Pinda amesema kuna haja ya kufanya mabadiliko makubwa katika mfumo wa utendaji…
DKT. BITEKO ATAKA WATUMISHI MADINI KUFIKIA MALENGO MAKUBWA YA SERIKALI
GREYSON MWASE NA ASTERIA MUHOZYA, DODOMA www.mtwarapressblog.co.tz Waziri wa Madini Dkt. Doto Biteko amesema Wizara inayo majukumu makubwa iliyopewa na Serikali ikiwemo kuhakikisha Sekta ya Madini…






