BILIONI 14 ZAJENGA SHULE NA VITUO VYA AFYA RUVUMA
ALBANO MIDELO, RUVUMA www.mtwarapressblog.co.tz SERIKALI ya Awamu ya sita inayoongozwa na Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan imetoa zaidi ya shilingi bilioni 14 kujenga shule mpya za sekondari…
MKOA WA RUVUMA ULIVYODHAMIRIA KUPUNGUZA UDUMAVU
ALBANO MIDELO, RUVUMA www.mtwarapressblog.co.tz KATIBU Tawala Mkoa wa Ruvuma Ndugu Stephen Ndaki ameongoza kikao cha Kamati ya Lishe Mkoa ambacho kimelenga kupokea majukumu na viashiria vya…
MKOA WA RUVUMA KULIMA ZAIDI YA HEKTA 900 ZA MAZAO
ALBANO MIDELO, RUVUMA www.mtwarapressblog.co.tz MKOA wa Ruvuma umelenga kulima jumla ya hekta 930,082 za mazao ya chakula,biashara na mazao ya bustani katika msimu wa kilimo wa…
ZAIDI YA HATI MILKI ZA ARDHI MILIONI MOJA KUTOLEWA KUPITIA MRADI WA LTIP
MUNIR SHIMWETA, WANMM www.mtwarapressblog.co.tz Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi kupitia Mradi wa Uboreshaji Usalama wa Milki za Ardhi (LTIP) inatarajia kutoa Hati Milki…
RUVUMA, MOROGORO, NJOMBE KUUNGANISHWA KWA LAMI
ALBANO MIDELO, RUVUMA www.mtwarapressblog.co.tz SERIKALI kupitia Wakala za Barabara TANROADS inatarajia kuanza mradi wa kuunganisha Mkoa wa Ruvuma na Mkoa wa Morogoro kwa barabara ya lami.…
MAKUMBUSHO YA TAIFA YA MAJIMAJI KUKUZA UTALII WA KIUTAMADUNI
ALBANO MIDELO, RUVUMA www.mtwarapressblog.co.tz Utalii wa kiutamaduni hapa nchini bado haujapewa kipaumbele ukilinganisha na nchi nyingine kama Afrika ya kusini ambayo utalii huo umepiga hatua kubwa.…
ITILIMA YAPONGEZWA USIMAMIZI MZURI WA MIRADI YA AFYA
OR TAMISEMI, SIMIYU Naibu Waziri Ofisi ya Rais – TAMISEMI, Dkt. Festo J. Dugange(Mb) ameridhishwa na usimamizi wa fedha za ujenzi miundombinu ya Hospitali ya wilaya…
WALENGWA ZAIDI YA ELFU SABA WALIVYONUFAIKA NA MPANGO WA TASAF KATIKA WILAYA YA MTWARA.
BRYSON MSHANA, MTWARA www.mtwarapressblog.co.tz Tangu mwaka 2014, Mpango wa kunusuru kaya masikini (TASAF) umekuwa ukitekelezwa katika Halmashauri ya Wilaya ya Mtwara yenye jumla ya kaya za…
WIKI MAALUM YA UPANDAJI MITI RUVUMA
ALBANO MIDELO, RUVUMA www.mtwarapressblog.co.tz MKUU wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas amezindua wiki maalum ya upandaji miti katika Mkoa wa Ruvuma ambapo jumla ya miti…
RUVUMA KUPANDISHA HADHI HIFADHI KUWA MAPORI YA AKIBA
ALBANO MIDELO, RUVUMA www.mtwarapressblog.co.tz MKOA wa Ruvuma umeridhia kupandisha hadi Hifadhi mbili za misitu kuwa mapori ya akiba (Game Reserve) kwa lengo la kuendeleza sekta ya…









