RUVUMA KUPANDISHA HADHI HIFADHI KUWA MAPORI YA AKIBA
ALBANO MIDELO, RUVUMA www.mtwarapressblog.co.tz MKOA wa Ruvuma umeridhia kupandisha hadi Hifadhi mbili za misitu kuwa mapori ya akiba (Game Reserve) kwa lengo la kuendeleza sekta ya…
SERIKALI YATOA BILIONI 60 UJENZI BARABARA SONGEA
ALBANO MIDELO, RUVUMA www.mtwarapressblog.co.tz SERIKALI ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dkt Samia Suluhu Hassan imetoa shilingi bilioni 60 kuanza ujenzi barabara ya lami kilometa…
RC RUVUMA AAGIZA WAZAZI WASIOPELEKA WATOTO SHULE KUCHUKULIWA HATUA
ALBANO MIDELO, RUVUMA www.mtwarapressblog.co.tz Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas amewaagiza wakuu wa Wilaya,wakurugenzi na viongozi ngazi ya kata na vijiji kuwakamata wazazi wote…
SERIKALI KUMEGA HEKTA 33,132.24 ZA HIFADHI KUWAPATIA WANANCHI RUVUMA
Munir Shemweta, WANMM RUVUMA www.mtwarapressblog.co.tz Serikali itamega jumla ya hekta 33,132.24 katika mkoa wa Ruvuma kutoka maeneo ya hifadhi na shamba la NAFCO na kubakizwa kwa…
MKOA WA RUVUMA WACHANGIA ASILIMIA 3.8 YA PATO LA TAIFA
ALBANO MIDELO, RUVUMA www.mtwarapressblog.co.tz UCHUMI wa Mkoa wa Ruvuma umeendelea kuimarika kwa kuchangia asilimia 3.8 ya pato la Taifa ukiwa juu ya mikoa mingine ya Kanda…
WAZIRI MABULA ASHEREHEKEA KRISIMASI NA WAGONJWA
Hassan Mabuye, Dodoma www.mtwarapressblog.co.tz Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt. Angeline Mabula amesherekea siku kuu ya Krisimasi na wagonjwa kwa kula nao chakula…
KISWAHILI KUPAMBA UTALII WA LUGHA
Na Mwandishi wetu, Kilimanjaro Tanzania imeendelea kuweka mikakati ya kuhakikisha kuwa inaendelea kuitangaza lugha ya Kiswahili katika maeneo mbalimbali Duniani kupitia utalii. Kwa mujibu wa Wizara…
SERIKALI YATOA MIKOPO KWA WATU WENYE ULEMAVU MTWARA
BRYSON MSHANA, MTWARA www.mtwarapressblog.co.tz Manispaa ya Mtwara – Mikindani mkoani mtwara, imetoa kiasi cha fedha shilingi Milioni 27.21 kwa watu Saba wenye ulemavu wa aina mbalimbalimbali…
UTENGENEZAJI WA VISHIKWAMBI KUANZA NCHINI
Na Mathias Canal, WEST-Dodoma Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imesema haina sababu ya kuagiza Vishikwambi kutoka nje ya nchi itaunga mkono jitihada za kampuni yoyote…
UPENDO REHABILITATION ILIVYOADHIMISHA SIKU YA WATU WENYE ULEMAVU 2022
BRYSON MSHANA, MTWARA www.mtwarapressblog.co.tz Disemba 3 ya kila mwaka ni siku ambayo ulimwengu huadhimisha siku ya watu wenye ulemavu Hapa nchini Tanzania maadhimisho hayo yalifanyika kitaifa…









