RAIS SAMIA AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA RAIS WA AFRIKA KUSINI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza jambo na Mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Afrika Kusini Cyril Ramaphosa mara baada…
WAZIRI KAIRUKI AFUNGUA BARAZA NA KUZINDUA MFUMO WA TSCMIS
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Angela Kairuki akizungumza wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa pili wa baraza…
BANDARI YA TANGA YAANZA KUPOKEA MELI ILIYOBEBA MAGARI
OSCAR ASSENGA, TANGA. www.mtwarapressblog.co.tz Rais Dkt Samia Suluhu ameendelea kuiwekea historia kubwa Bandari ya Tanga kutokana na maboresho makubwa iliyoyafanya na sasa wameanza kupokea meli kubwa…
WATUMISHI SEKTA YA UJENZI, WANOLEWA MASUALA YA KIAFYA
Kaimu Katibu Mkuu-Sekta ya Ujenzi, Bi Saumu Mruke, akizungumza na baadhi ya watumishi wa Sekta hiyo (hawapo Pichani) wakati akifungua Semina ya mafunzo ya Masuala ya…
NAIBU WAZIRI WA MICHEZO ATEMBELEA BMT
Naibu Waziri wa wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamis Mwinjuma (kushoto) akizungumza na watumishi wa Baraza la Michezo la Taifa (BMT) wakati alipotembelea ofisi za…
KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA ARDHI, MALIASILI NA UTALII ZIARANI NGORONGORO
MWANDISHI WETU, NGORONGORO www.mtwarapressblog.co.tz Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeridhishwa na teknolojia ya tabaka gumu la mawe iliyotumika katika ujenzi…
MBIUWASA YAJIVUNIA MIAKA MIWILI YA RAIS DKT. SAMIA
Tenki lenye uwezo wa kuchukua lita 500,000 za maji lililojengwa katika mradi wa maji Lusaka Mbinga mjini. Mkurugenzi Mtendaji wa mamlaka ya maji safi na usafi…
TPA YAPONGEZWA HUDUMA BORA BANDARI YA KILWA
MWANDISHI WETU, KILWA www.mtwarapressblog.co.tz Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania TPA imepongezwa kwa Huduma bora zinazotolewa na Bandari ya Kilwa Masoko Pongezi hizo zimetolewa na…
ZAIDI YA MAFUNDI 1800 KUKUTANISHWA PAMOJA IRINGA -MACHI 17
Mafundi smart wakiwa kazini MWANDISHI WETU, IRINGA www.mtwarapressblog.co.tz ZAIDI ya mafundi wa aina mbalimbali 1, 800 wanatarajia kukutana pamoja katika kongamano kubwa litakalo fanyika…
RAIS SAMIA APONGEZWA KWA KUWEZESHA WATU WENYE ULEMAVU
BRYSON MSHANA, TANGA www.mtwarapressblog.co.tz Kamati ya kudumu ya Bunge, Ustawi na Maendeleo ya Jamii imempongeza Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuwawezesha watu wenye ulemavu…





