KAMATI YA BUNGE YATOA KONGOLE UTEKELEZAJI PROGRAM YA KKK MERU
MUNIR SHEMWETA, WANMM MERU www.mtwarapressblog.co.tz Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi Maliasili na Utalii imepongeza Program ya Kupanga, Kupima na Kumilikisha Ardhi (KKK) inayotekelezwa na…
CHINA YAIPA TANZANIA DOLA MILIONI MOJA KUKUZA UTALII
MWANDISHI WETU, KILIMANJARO www.mtwarapressblog.co.tz Serikali ya China na Tanzania zimetiliana saini mkataba wa Dola za kimarekani milioni moja kusaidia shughuli mbalimbali za kuendeleza Utalii kwenye Hifadhi…
NAIBU WAZIRI WA MADINI ATEMBELEA BANDA LA BARRICK
Wafanyakazi wa Barrick wakibadilishana mawazo katika banda la maonesho lililopo katika ukumbi wa AICC mjini Arusha. Wafanyakazi wa Barrick wakibadilishana mawazo katika banda la maonesho…
RUWASA MANYARA YAWASHAURI WANANCHI KUVUTA MAJI KWENYE NYUMBA ZAO
MWANDISHI WETU, MANYARA www.mtwarapressblog.co.tz Katika kuadhimisha wiki ya maji, iliyozinduliwa Machi 16, 2023 na waziri mkuu kasim majaliwa Jijini Dar es salaam, wakala wa usambazaji maji…
WAZIRI MKUU AZINDUA WIKI YA MAJI, ASISITIZA UHIFADHI WA MAZINGIRA
MWANDISHI WETU, DAR ES SALAAM www.mtwarapressblog.co.tz WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema suala uhifadhi wa mazingira ni muhimu kwa nchi na akataka kila Mtanzania azingatie uhifadhi…
Dkt. KIRUSWA AZINDUA MFUMO WA USHIRIKISHWAJI SEKTA YA MADINI
MWANDISHI WETU, ARUSHA www.mtwarapressblog.co.tz Naibu Waziri wa Madini, Dkt. Steven Kiruswa tarehe 16 Machi, 2023 amezindua rasmi mfumo wa ushirikishwaji wa watanzania katika Sekta ya…
SERIKALI YATOA BILIONI 2.2 KUBORESHA MAKUMBUSHO ZA TAIFA
MWANDISHI WETU, ARUSHA www.mtwarapressblog.co.tz Serikali kupitia Mpango wa Fedha za Maendeleo ya Ustawi wa Taifa na Mapambano dhidi ya UVIKO 19, imetoa jumla ya shilingi…
NEMC YANG’ARA KIMATAIFA MAONESHO YA KILIMO NA MAZINGIRA QATAR
Meneja wa Mawasiliano na Uhusiano kwa Umma wa Baraza la Taifa la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC), Irene John akimkabidhi mfuko mbadala mmoja…







