KANALI ABBAS AZUNGUMZIA MAANDALIZI YA MAONESHO YA NANENANE 2023 KANDA YA KUSINI
BRYSON MSHANA, MTWARA www.mtwarapressblog.co.tz Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Kanali Ahmedi Abbas Ahmedi, amekutana na waandishi wa habari Ofini kwake leo Julai 27, 2023 kwa ajili…
WANANCHI WANUFAIKA NA UJENZI NA UKARABATI WA BARABARA
James Mwanamyoto (OR-TAMISEMI) www.mtwarapressblog.co.tz Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Deogratius Ndejembi amesema wananchi wa Halmashauri ya Mji wa Mbiga…
USIKIVU WA RAIS DK. SAMIA UNALETA MAFANIKIO MAKUBWA NCHINI – KINANA
MWANDISHI WETU, KONDOA mtwarapressclub@gmail.com MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara Abdulrahaman Kinana, amesema mafanikio makubwa yaliyofikiwa na Rais Dk. Samia Suluhu Hassan ndani…
HABARI KATIKA MAGAZETI YA JUMATATU JULAI 24, 2023
SUBSCRIBE VIA EMAIL
WIZARA YA AFYA YAZINDUA UTAFITI WA KITAIFA WA VIASHIRIA VYA MAGONJWA YASIYOAMBUKIZA (STEPS SURVEY 2023)
Catherine Sungura, Dodoma mtwarapressclub@gmail.com Magonjwa Yasiyoambukiza (NCDs) yanachangia takribani 33% ya vifo vyote nchini huku kwa takwimu za Shirika la Afya duniani (WHO) kwa mwaka 2020…
WHO YATOA MILIONI 855 KWA AJILI YA UTAFITI WA VIASHIRIA VYA MAGONJWA YASIYOAMBUKIZA
Catherine Sungura, Dodoma mtwarapressclub@gmail.com Shirika la Afya Duniani (WHO) kuipatia Tanzania fedha Za kitanzania milioni 855 kwa ajili ya kuwezesha kufanya utafiti wa kitaifa wa viashiria…
RAIS SAMIA ARIDHIA HEKTA 18,031 KUTOLEWA KWA WANANCHI RUTORO
Munir Shemweta, WANMM MULEBA mtwarapressclub@gmail.com Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan ameridhia kumegwa eneo la Ranchi ya Kagoma iliyopo wilaya ya…
MIEZI MITATU MRADI WA MAJI WA MUGANGO-KIABAKARI BUTIAMA UKAMILIKE
MWANDISHI WETU, BUNDA mtwarapressclub@gmail.com Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maji Mhandisi Cyprian Luhemeja, ametoa miezi mitatu kwa Mkandarasi anaetekeleza mradi wa maji wa Mugango-Kiabakari-Butiama ambaye ni…
BUNDA WAHAKIKISHIWA MAJI SAFI NA SALAMA
MWANDISHI WETU, BUNDA mtwarapressclub@gmail.com Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maji, Mhandisi Cyprian Luhemeja amezungumza na wakazi wa mtaa wa Nyantare kata ya Guta na kuwatangazia neema…
MKUTANO WA KIMATAIFA WA KOROSHO NI FURSA KWA TANZANIA
BRYSON MSHANA, MTWARA mtwarapressclub@gmail.com Julai 14, 2023 Serikali ya Tanzania kupitia Bodi ya Korosho Tanzania (CBT) ilitangaza kuanza maandalizi ya Mkutano wa Kimataifa wa Korosho utakaohusisha…









