WANANCHI MTWARA WATAKA SERIKALI ISOGEZE HUDUMA ZA AFYA KARIBU NA JAMII
BASHIRU MOHAMED, MTWARA Wakazi wa Manispaa ya Mtwara Mikindani Mkoani Mtwara wamepongeza kampeni ya KITAA KIMEITIKA-TB INATIBIKA-CHUKUA HATUA kupitia Kliniki Tembezi inayotoa huduma za uchunguzi wa…
WANANCHI MTWARA WAENDELEA KUJITOLEA UJENZI WA KITUO CHA AFYA
HUSNA HASSANA, MTWARA Wakazi wa Kata ya Chuno ,Shangani pamoja na watumishi wa Manispaa ya Mtwara Mikindani wamekusanyika Zahanati ya Chuno kwaajili ya kumwaga zege kwenye…
SDA YATAKA UZINGATIWAJI WA USAWA KWA WATU WENYE ULEMAVU
MUSSA MTEPA, MTWARA Katika juhudi za kuendeleza elimu jumuishi na kuboresha maisha ya watu wenye ulemavu, Shirika lisilo la Kiserikali la Sport Development Aid (SDA), linalojihusisha na kuwawezesha…
DKT. BITEKO AOMBA KURA YA NDIYO KWA WAJUMBE BUKOMBE
MWANDISHI WETU, BUKOMBE Mbunge wa Jimbo la Bukombe anayemaliza muda wake, Dkt. Doto Mashaka Biteko ambaye ameomba tena ridhaa ya kutetea kiti hicho, ameeleza furaha na…
TARURA YASHIRIKI MAONESHO YA NANE NANE NZUGUNI JIJINI DODOMA
MWANDISHI WETU, DODOMA Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) inashiriki Maonesho ya Nane Nane kitaifa yanayofanyika katika Viwanja vya Maonesho vya Nzuguni jijini Dodoma.…
WANARUFIJI LAZIMA WANUFAIKE NA UWEKEZAJI- MHE. MCHENGERWA
JOHN JAYROS,RUFIJI MTIA nia wa Ubunge jimbo la Rufiji, Mohamed Mchengerwa ameweka vipaumbele endapo atachaguliwa kuwa Mbunge wa jimbo huku akisisitiza uwekezaji mkubwa unaokuja katika jimbo…
NAMTUMBO YANG’AA KWENYE SEKTA YA AFYA – MAFANIKIO CHINI YA MHE. VITA KAWAWA (2020–2025)
LUCY MWALONGO, NAMTUMBO Katika kipindi cha miaka mitano ya utekelezaji wa Ilani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuanzia mwaka 2020 hadi 2025, Jimbo la Namtumbo limepiga…
DEVOTA MBURARUGABA NA SAMILA AMOUR WANG’ARA UBUNGE VITI MAALUMU KAGERA
MWANDISHI WETU, KAGERA Devota Daniel Mburarugaba na Samila Khalfan Amour wameibuka washindi katika uchaguzi wa Wabunge Viti Maalumu Mkoa wa Kagera baada ya kushinda kwa kishindo…
UJUMBE KUTOKA MSUMBIJI WATEMBELEA WIZARA YA ARDHI
MUNIR SHEMWETA, WANMM Ujumbe kutoka nchini Msumbiji umetembelea Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa lengo la kubadilishana uzoefu katika masuala yanaohusu sekta ya…
PROF. MWANDOSYA KINARA WA MATIBABU YA SARATANI NCHINI – DKT. BITEKO
OFISI YA NAIBU WAZIRI MKUU NA WAZIRI WA NISHATI Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amemuelezea Prof. Mark Mwandosya kuwa ni…








