WANANCHI MTWARA WAENDELEA KUJITOLEA UJENZI WA KITUO CHA AFYA
HUSNA HASSANA, MTWARA Wakazi wa Kata ya Chuno ,Shangani pamoja na watumishi wa Manispaa ya Mtwara Mikindani wamekusanyika Zahanati ya…
Read More »SDA YATAKA UZINGATIWAJI WA USAWA KWA WATU WENYE ULEMAVU
MUSSA MTEPA, MTWARA Katika juhudi za kuendeleza elimu jumuishi na kuboresha maisha ya watu wenye ulemavu, Shirika lisilo la Kiserikali…
Read More »DKT. BITEKO AOMBA KURA YA NDIYO KWA WAJUMBE BUKOMBE
MWANDISHI WETU, BUKOMBE Mbunge wa Jimbo la Bukombe anayemaliza muda wake, Dkt. Doto Mashaka Biteko ambaye ameomba tena ridhaa ya…
Read More »TARURA YASHIRIKI MAONESHO YA NANE NANE NZUGUNI JIJINI DODOMA
MWANDISHI WETU, DODOMA Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) inashiriki Maonesho ya Nane Nane kitaifa yanayofanyika katika Viwanja…
Read More »WANARUFIJI LAZIMA WANUFAIKE NA UWEKEZAJI- MHE. MCHENGERWA
JOHN JAYROS,RUFIJI MTIA nia wa Ubunge jimbo la Rufiji, Mohamed Mchengerwa ameweka vipaumbele endapo atachaguliwa kuwa Mbunge wa jimbo huku…
Read More »NAMTUMBO YANG’AA KWENYE SEKTA YA AFYA – MAFANIKIO CHINI YA MHE. VITA KAWAWA (2020–2025)
LUCY MWALONGO, NAMTUMBO Katika kipindi cha miaka mitano ya utekelezaji wa Ilani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuanzia mwaka 2020…
Read More »DEVOTA MBURARUGABA NA SAMILA AMOUR WANG’ARA UBUNGE VITI MAALUMU KAGERA
MWANDISHI WETU, KAGERA Devota Daniel Mburarugaba na Samila Khalfan Amour wameibuka washindi katika uchaguzi wa Wabunge Viti Maalumu Mkoa wa…
Read More »UJUMBE KUTOKA MSUMBIJI WATEMBELEA WIZARA YA ARDHI
MUNIR SHEMWETA, WANMM Ujumbe kutoka nchini Msumbiji umetembelea Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa lengo la kubadilishana…
Read More »PROF. MWANDOSYA KINARA WA MATIBABU YA SARATANI NCHINI – DKT. BITEKO
OFISI YA NAIBU WAZIRI MKUU NA WAZIRI WA NISHATI Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko…
Read More »ASHIKILIWA NA POLISI KWA KUDAIWA KUMUUWA BABA YAKE BAADA YA MGOGORO WA FEDHA ZA UFUTA
BRYSON MSHANA, MTWARA Jeshi la Polisi Mkoa wa Mtwara linamshikilia mtu mmoja anayefahamika kwa jina la Zawadi Ally Mohamed (24)…
Read More »








