Shehena ya Bangi ikihusisha magunia 237 na kilo 310 za mbegu imeteketezwa kwa moto kufuatia operesheni iliyofanywa na Mamlaka ya kudhibiti na kupambana na dawa za kulevya (DCEA) kwa kushirikiana na vyombo vya Ulinzi Usalama katika Wilaya ya Arumeru Mkoani Arusha .
Ni katika operesheni ya kupambana na kilimo na biashara haramu ya Bangi kilichoshamiri eneo la Kisimiri wilaya ya Arumeru ambapo Mkuu wa Wilaya hiyo Emmanuela Kaganda amesema lengo ni kubadilisha mtazamo wa wananchi katika kilimo na biashara ya Bangi
Innocent Masangulla ni Mkuu wa Operesheni wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) kwa Mikoa ya Kanda ya kaskazini amesema Operesheni hiyo ni ya tatu kufanyika Arumeru
Kwa upande wao wananchi wa wilaya ya Arumeru wamesema ni vyema serikali ikaongeza nguvu ya Kupambana na kilimo na biashara ya bangi Arumeru.
WANANCHI WA MABOGINI WANUFAIKA NA MRADI WA RISE
DALILI ZA UWEPO WA GESI ASILIA ZAONEKANA KATIKA KITALU CHA LINDI-MTWARA
KOROSHO MARATHON MSIMU WA NNE KUFANYIKA NOVEMBA 29, 2025
SERIKALI KUWEKA MAZINGIRA WEZESHI USHIRIKI WA WADAU KATIKA MAENDELEO YA MAKAZI NCHINI
Na Munir Shemweta Serikali kuendelea kuweka mazingira wezeshi kwa ushiriki wa wadau katika…
Popular Posts
Most Articles
SERIKALI KUWEKA MAZINGIRA WEZESHI USHIRIKI WA WADAU KATIKA MAENDELEO YA MAKAZI NCHINI
Na Munir Shemweta Serikali kuendelea kuweka mazingira wezeshi kwa ushiriki wa wadau katika maendeleo …






