Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akizungumza na Ujumbe wa Wawekezaji kutoka Uingereza ukiongozwa na Bi.Agnes Gitau kutoka Taasisi ya Eastern Africa Assosiation   walipofika Ikulu Jijini Zanzibar Machi 23, 2023 (Picha na Ikulu Zanzibar).

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa akizungumza na Ujumbe wa Wawekezaji kutoka Uingereza ukiongozwa na Bi.Agnes Gitau kutoka Taasisi ya Eastern Africa Assosiation   walipofika Ikulu Jijini Zanzibar Machi 23, 2023 (Picha na Ikulu Zanzibar).

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akimkabidhi zawadi ya Mlango wa Zanzibar Bi.Agnes Gitau kutoka Taasisi ya Eastern Africa Assosiation, Kiongozi  wa Ujumbe wa Wawekezaji kutoka Uingereza mara baada ya mazungumzo  yaliyofanyika Machi 23, 2023 katika Ukumbi wa  Ikulu Jijini Zanzibar (Picha na Ikulu Zanzibar).

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akiagana na Bi.Agnes Gitau kutoka Taasisi ya Eastern Africa Assosiation, Kiongozi  wa Ujumbe wa Wawekezaji kutoka Uingereza mara baada ya mazungumzo  yaliyofanyika Machi 23, 2023 katika Ukumbi wa  Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu Zanzibar)

 

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akizungumza na Ujumbe wa Wawekezaji kutoka Uingereza ukiongozwa na Bi.Agnes Gitau kutoka Taasisi ya Eastern Africa Assosiation   walipofika Ikulu Jijini Zanzibar Machi 23, 2023 (Picha na Ikulu Zanzibar).

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa akizungumza na Ujumbe wa Wawekezaji kutoka Uingereza ukiongozwa na Bi.Agnes Gitau kutoka Taasisi ya Eastern Africa Assosiation   walipofika Ikulu Jijini Zanzibar Machi 23, 2023 (Picha na Ikulu Zanzibar).

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akimkabidhi zawadi ya Mlango wa Zanzibar Bi.Agnes Gitau kutoka Taasisi ya Eastern Africa Assosiation, Kiongozi  wa Ujumbe wa Wawekezaji kutoka Uingereza mara baada ya mazungumzo  yaliyofanyika Machi 23, 2023 katika Ukumbi wa  Ikulu Jijini Zanzibar (Picha na Ikulu Zanzibar).

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akiagana na Bi.Agnes Gitau kutoka Taasisi ya Eastern Africa Assosiation, Kiongozi  wa Ujumbe wa Wawekezaji kutoka Uingereza mara baada ya mazungumzo  yaliyofanyika Machi 23, 2023 katika Ukumbi wa  Ikulu Jijini Zanzibar (Picha na Ikulu Zanzibar).

Check Also

SERIKALI KUWEKA MAZINGIRA WEZESHI USHIRIKI WA WADAU KATIKA MAENDELEO YA MAKAZI NCHINI

Na Munir Shemweta Serikali kuendelea kuweka mazingira wezeshi kwa ushiriki wa wadau katika…